Mwongozo wa Serikali: Kipimo cha Corona ni Dola za Kimarekani 100 kwa anayesafiri nje ya Nchi

Mwongozo wa Serikali: Kipimo cha Corona ni Dola za Kimarekani 100 kwa anayesafiri nje ya Nchi

Kiasi kilichotajwa na serikali ni rahisi kulingana na clinic binafsi zilizopewa ruhusa ya kufanya test ya corona Nchini Uingereza...
Tuangalie majirani zetu wanafanyaje? Kenya na Uganda gharama zikoje kupima kama mtu anataka kusafiri?

Au twendeb mbali zaidi tuangalie Africa, nchi gani ina kiwango kikubwa zaidi cha gharama za kupima,ikiwezekana tuwekewe na jedwali!
 
Sahihi kabisa,watu wanalaumu bila kujua gharama za nchi zingine zikoje,hiyo ndio gharama yake huku na tunalipa coz hakuna jinsi.
Nilitegemea nipewe mifano ya nchi za Africa,niambie Kenya na Uganda iko hivi!Na Africa nchi inayocharge gharama kubwa zaidi ni ipi na ikiwezekana tupate jedwali la nchi za Africa kwa gharama!
Huwezi kwenda kujilinganisha na nchi ambapo muajiriwa wa chini kabisa analipwa dola 10 kwa saa!
 
Nashangaa stress zake za maisha anataka kuzimalizia kwetu! apambane tu na umasikini wake hapa hakuna msaada tutakaompa.
[emoji16][emoji16][emoji16]mtu analalamikia 100$,anadhani wanaovuka mpaka wanakwenda kusalimia wazazi kama yeye akiwa anakwenda kijijini kwao.

kumbe watu wanafanya biashara,na kwa umuhimu wa biashara na faida wanazopata 100$ sio ishu.huu ni wakati wa dharula.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]mtu analalamikia 100$,anadhani wanaovuka mpaka wanakwenda kusalimia wazazi kama yeye akiwa anakwenda kijijini kwao.

kumbe watu wanafanya biashara,na kwa umuhimu wa biashara na faida wanazopata 100$ sio ishu.huu ni wakati wa dharula.
Mkuu mimi huku nilipo nimesha fanya sana hiyo PCR TEST na kwa gharama hiyo hiyo,sasa yeye anafikiri akitokwa povu humu linaweza kumsaidia kubadili chochote.
 
Inawezekana kabisa aliesema dola mia hajui ni sawa na hela za kikwetu kiasi gani, anasikia tu dola mia dola mia aafu wale waliobutuka na kudai hela yetu ina thamani,apo sasa ndo mtajua kama embe ni tunda.
 
Salaam Wakuu,

Serikali imetoa Mwongozo wa Upimaji wa Covid-19. Katika Barua iliyosainiwa na Waziri wa Afya Dokta Doroth Gwajima, Pamoja na Mambo mengine yote, imeeleza ukitaka kusafiri nje ya Nchi, gharama ya Kupima Covid-19 ni USD 100. Hii ni Pamoja na Watalii. Wameongeza Malipo hayo yalipwe katika akaunti ya Serikali ya Huduma za Maabara.

Hapa chi ni Mwongozo huo:
View attachment 1670196View attachment 1670197
Hii wizara ya Afya ni wizara yenye wakati mgumu sana kwa nchi yetu na hasa kwa wakati huu wa Korona, sababu kama nchi tumechukuwa mtazamo tofauti kwa jinsi ya kukabiliana na hili gonjwa, ndiyo maana naibu waziri Dr. Ndugulile alitumbuliwa kutokana na jambo hili la Korona, kwani lilichukuliwa kisiasa zaidi na sasa naona linapelekwa kwenye ngazi ya kiuchumi.
Tunaomba tumtangulize Mungu mbele katika mambo yetu yote hata haya ya vipimo vya Korona.
 
Hii korona sasa imekuwa dili la kuongeza mapato kwenye mfuko......iweje watu watozwe ikiwa serikali ilipata pesa za wafadhili ili pamoja na mambo mengine ipime watu kujua status ya ugonjwa?
 
Back
Top Bottom