Mwongozo wa Serikali: Kipimo cha Corona ni Dola za Kimarekani 100 kwa anayesafiri nje ya Nchi

Lebanon nimelipa usd 20, nikaja Tanzania, juzi nageuka Lebanon napigwa usd 100 afu sikulijua hilo cox mwanzo nilitoa usd 17, hela imeniuma sana hii.
 
Nimetoka nayo tz juz nimeingia nje wanaangalia kila hatua....kila unayemkuta anauliza form ya Pcr test....wanaikagua na kupiga muhuri.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…