My confession: Hornet is Positive

Status
Not open for further replies.
mastori ya town
 
Huwa napima Mara Kwa mara ikitokea nafasi
Pole sana mama, nacheka sio kwa ubaya ila toka nilipogundua hilo swala la HIV ni uzushi na mtu anaweza kufa kwa namna yeyote ile ila ikasingiziwa HIV basi sikuwahi kuona kwamba ni kitu cha kuogopa. Mbali na hapo kuna maradhi magumu kama cancer na kisukari na kuna watu wanateseka vibaya mno. Niliacha kupima from there on!

Hivi unafahamu kuwa ukipiga sindano ya tetanus kipimo kitasoma HIV positive?
 
[emoji1787][emoji1787]

Hivi kwa nini huwa unaona ni lazima utumie ID nyingine kuniponda?

Tumia ile ile ya siku zote.

Usiogope.
Mkuu siku ikipima usithubutu hata kurania humu kuwa hauko sawa utauwa wengi kwa pesha[emoji2]
 
????? mzee tupe xp apoo
 
????? mzee tupe xp apoo
Imemtokea my blood brother nae huwa anapima pima mara kwa mara na kazi zake ni za machuma chuma.

Alijikata na bati akaenda pigwa tetanus, after one day anaenda test ngoma anakuja kwa masikitiko kuwa yuko HIV+ nikamwambia tulia, jipe time hio kitu ulipiga juzi ina mess na antibodies. Baada ya week akaenda test upya kitu HIV-
 
Kweli natumaini umeacha kutaka hela za wanaume kirahisi
 
Kweli natumaini umeacha kutaka hela za wanaume kirahisi

Nitaomba kubadili ID maana kisa chochote watu wanahusianisha na jina 😒😒, haikua nimefata hela zake na infact hakua na hela sema unajua ukipenda automatically unajikuta unamuamini sana mtu

Alivyokuja nifanyia uhuni, ndio nikajua pengine alikua anauza mechi ama sio innocent kama nilivyodhani ndio wasiwasi ulipoanzia
 
Ni dada mwenye upendo na huruma sana.I think mafisi maji walitake advantage ya hiyo tabia na sasa yanatoa macho kama mjusi uliobanwa na mlango wa chuma!
Kwahio aliwakabidhi malighafi wana wakajibutulia kiroho safi...Maana ule uzi wa kuwa ana genye endlessly uliamsha hisia za mabaharia.😁😁😁 waliofanya kweli watakuwa wanaugulia huko waliko 😎
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…