My confession: Hornet is Positive

Status
Not open for further replies.
Pole ndugu, leo yetu imejengwa na jana yetu.
Bwana amejaa huruma na neema, si mwepesi wa hasira ni mwingi wa fadhili.
Usikate tamaa ndugu, jipe moyo mkuu ,inuka , songa mbele.
 
Yule dada nimemkuta.
Hips zote zimemuisha.
Wallah nimemuonea imani.
[emoji1787][emoji1787]
eeeh

Hukurudi tena..au bado mpaka sasa hujawamaliza vizuri ? [emoji23][emoji23]
 
Huna ustaarabu hata kidogo...huna nasema...usipende kujifanya msafi shit happens...chukua angalizo Basi ..sionkuanza kumnyanyapaa mtu kisa aloweka Uzi zake .khaa grow up
Hao jamaa washenzi sana, nimewatukana matusi yote kimoyomoyo, hata watoto wadogo hawawez kua na akili hovyo kama hao jamaa
 
Hornet are you serious?
If yes, naomba na mimi nifanye niwe + kama ww
 
Sahihi kabisa Surgeon wetu..

Ninyi wenyewe huwa mnameza Sana PEP pindipo mnapojikata bahati Mbaya Kipindi Cha kutupasua...

Hebu tupe ushuhuda wako wa mikiki ya mbàazi za mwezi mzima!
 
Mh! Mie nilidhani ukishaonekana una HIV unatakiwa kuanza kutumia ARV hapo hapo? Uliza Hornet kama unatakiwa kuanza kutumia sasa hivi na kama si kuanza matumizi mara moja ni lini unatakiwa uanze kutumia?

Kama umepima sehemu moja tu si vibaya kupima sehemu nyingine mbili tofauti. Niliona documentary moja ya mzungu mwanaume ambaye aliambiwa ni mwathirika na akaanza kutumia dawa mara moja. Furaha yake ikapotea kwani aliishi kwa wasiwasi mkubwa kama nakumbuka vizuri hata kazi aliamua kuacha kazi na kuanza kutumia savings zake.

Baada ya miaka mitano kwenye clinic aliyokuwa akienda kuandikiwa dawa anazotumia doctor akamuomba apime naye akakubali akapima majibu yakawa -VE akamuomba aende sehemu nyingine mbili ili kupima tena ili kuhakikisha yale majibu ni kweli au la. Akaenda kupima sehemu nyingine mbili tofauti na kote majibu yalikuwa ni -VE. Jamaa akaamua kufungua mashtaka dhidi ya Dr na clinic waliyomwambia kwamba ni muathirika sijui kesi yake iliishaje.

Am healthy very fine
Sijaambiwa habari YA dawa
 
hiyo sentence ya mwisho ..[emoji119][emoji119][emoji119]
 
yaap nitakwenda kesho
government maybe
 
Dah.

My Dear Dear Sister.

Am shattered and speechless.

But know that am right here for you if you need a shoulder to lean on.

Stay strong.
 
Hao jamaa washenzi sana, nimewatukana matusi yote kimoyomoyo, hata watoto wadogo hawawez kua na akili hovyo kama hao jamaa
Hee...bas kaaanza kutafutiza viishu na mm vya miaka ..na huku ilikua easy tu akubali yaishe. We mwanaume wa 2kuona unyanyapaa..HAIWEZEKANI mtu akuambie hivi ule wa hornet "ulizamaga pm"?? Kwamba mdau alikua ana kiu Sana au alikua anatafuta bwana. Eish. .watu bwana!
Alafu anadai tunaunafiki. Atafute comment yyt Ile niyowah mnyanyapaa magonjwa yyt Mimi wa gonjwa lolote lile...mie najitukaniaga jukwaa pendwa la Siasa...lakini kwingine nafeel pain mno mno...
Yaishe jombaa tunaharibu uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…