Be strong. [emoji120][emoji120]Haikuwa rahisi,na siyo rahisi bado.
thanks.
Nakupongeza kaka.Dah we mrembo mjanja sana. Unanifukuza kijanja sio? Mi siogopi wala nini, mtongozo uko palepale.
HIV sio ugonjwa
HIV sio kifo
HIV ni virusi vinavyosababisha upungufu wa kinga mwilini. Usiingiwe na hofu ukikutwa HIV+
Ishi kwa matumaini... kula vizuri, pumzika vya kutosha, mazoezi ya wastani, fuata ushauriwa wataalam wa afya.. Hakika utaushuhudia uzee wako ukiwa na afya yako njema kabisa
Tuko pamoja mrembo wangu,hakuna unyanyapaa wala nini.
Pole sana Hornet. Nitakuja kukuona rafiki yangu.wengi hawaamini na wanaendelea kupima kwa macho
Kule bondeni?!!!!!!!Uuwiiii..uwiiii.... dah kule bondeni hali itakuwa mbaya sana.
Bravo madame, Maisha na yaendelee.
Subir mpaka cd4 zifike 200Mimi sina ujasiri wa kupima ugonjwa ambao najua hauna dawa, sijui nimeumbwaje
BADO HAMU YA KUFANYA MAPENZI KUPITILIZA UNAYO?Habari zenu wote?
Siku kadhaa nyuma nimejikuta kwenye wakati mgumu mno. Hivi karibuni niliwiwa kwenda kupima kama sehemu ya kuifahamu afya yangu,
Majibu yangu hayakuwa ya kufurahisha, nilichanganyikiwa na nikajichukia mno. Nikajutia nyakati zote za kukutana bila kinga na kujikuta nimechukua sex mnoo.
Ila baada ya kumweleza rafiki yangu alinipa moyo na nipo naendelea kuishi kwa matumaini.
My take ;
Usimpime mtu kwa macho.
Tutumie vipimo tutumie kinga.
#lets stay positive.
POLE NA HONGERANdiyo
MBALAWALWA IPO WAPI??Karibu