My confession: Hornet is Positive

My confession: Hornet is Positive

Status
Not open for further replies.
Wengi ni HIV+ positive humu mtaani na humu jukwaani sema tumekosa huruma kwa wenzetu kwa kutaka kuwakatisha tiketi ya kwenda nao kwenye meli ya MV BUKOBA.
 
Wewe upo kila jukwaa na hadithi zako za kusadikika, mara nimekitana na mkaka Mwendokasi nimempenda mara kila saa nnasikia ham ya kuliwa mara nimepima kwendraaa kifaduro
why bothered?
 
Dah we mrembo mjanja sana. Unanifukuza kijanja sio? Mi siogopi wala nini, mtongozo uko palepale.

HIV sio ugonjwa
HIV sio kifo
HIV ni virusi vinavyosababisha upungufu wa kinga mwilini. Usiingiwe na hofu ukikutwa HIV+
Ishi kwa matumaini... kula vizuri, pumzika vya kutosha, mazoezi ya wastani, fuata ushauriwa wataalam wa afya.. Hakika utaushuhudia uzee wako ukiwa na afya yako njema kabisa

Tuko pamoja mrembo wangu,hakuna unyanyapaa wala nini.
Nakupongeza kaka.
 
Habari zenu wote?

Siku kadhaa nyuma nimejikuta kwenye wakati mgumu mno. Hivi karibuni niliwiwa kwenda kupima kama sehemu ya kuifahamu afya yangu,

Majibu yangu hayakuwa ya kufurahisha, nilichanganyikiwa na nikajichukia mno. Nikajutia nyakati zote za kukutana bila kinga na kujikuta nimechukua sex mnoo.

Ila baada ya kumweleza rafiki yangu alinipa moyo na nipo naendelea kuishi kwa matumaini.

My take ;
Usimpime mtu kwa macho.
Tutumie vipimo tutumie kinga.

#lets stay positive.
BADO HAMU YA KUFANYA MAPENZI KUPITILIZA UNAYO?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom