Habari zenu wote?
Siku kadhaa nyuma nimejikuta kwenye wakati mgumu mno,
Hivi karibuni niliwiwa kwenda kupima kama sehemu ya kuifahamu afya yangu,
majibu yangu hayakuwa ya kufurahisha, nilichanganyikiwa na nikajichukia mno,
nikajutia nyakati zote za kukutana bila kinga na kujikuta nimechukua sex mnoo.
Ila baada ya kumweleza rafiki yangu alinipa moyo na nipo naendelea kuishi kwa matumaini.
my take ;
usimpime Mtu kwa macho.
Tutumie vipimo tutumie kinga.
#lets stay positive.
AmenPole kwa sababu unahisi Ni tatizo lkn kimsingi now days sio tatizo issue ni kuzingatia dawa.
Nimeona watu wanaishi tangu wamepima na wanatumia Ni Zaid ya miaka 18 imepita lkn mpaka Leo afya zipo Safi kabisa wanafanya majukumu malengo as usual.
Big up kwa ujasir lkn am sure your among who will live normal and longer life as planned by God.
Nilichojifunza hii kitu ni kama corona, unavyoichukulia ndivyo itavyokufanya, ni kuipuuza tuMimi sina ujasiri wa kupima ugonjwa ambao najua hauna dawa, sijui nimeumbwaje
vipi walikutaka kuanza arv hapo hapo au baada ya cd4 zako kushuka.Nashukuru pia nimefanikiwa kwa kiasi Fulani kuhandle yoga na hofu ndani yangu.
shukrani
You nailed itWewe ni Shujaa, na wee ni mwanamke wakipekee sana.
Nachoweza kuhakikishia, Haupo pekeako humu JF na huko nje ya JF.
Upekee na ubora wako ni ulivoamua kutumia ID YAKO HALISIA kuandika jambo hili.
Nakuhakikishia kwa kufanya ivi ,
[emoji117]Umejilinda wewe mwenyewe
[emoji117]Umewalinda unaowapenda.
WanaJF, nakazia hapaaa
Hornet kwa ukubwa wa umri na akili yake anaposema USIMPIME MTU KWA MACHO ANAAMANISHA.
Msimtazame mtu na kumwamin kwa macho sababu Ana enda Gari, ana nyumba, anavaa vzuri, anakazi, ana kila kitu ambacho kinamfanya aonekane Bora hata kufikia hatua ya kumwachia haki juu yako.
Sio kwamba huyu mdada hajui ninani ?
Anajua sababu ni mtu alokua anapima mara kwa mara toka awali, bahati mbaya alikosea kumwamini mtu ambaye kwa mwonekano namaisha yake yalimfanya aamini mzima.
Nasema ivi kwa sababu HORNET SIO MWANAMKE MALAYA, SIO MWANAMKE WA KWENDA SABABU YA PESA, NI MWANAMKE MHANGAIKAJI WA MAISHA, NA NI MTAFUTAJI WA PESA ZAKE MWENYEWE.
Nihitimishe kwa haya machache
[emoji117]Kama unaakili timamu, utakubaliana na Hornet kua Ujumbe alokusudia kuufikisha ndani ya Jamii hiii hii ya JF ,umefika, mwenye masikio na macho na aone, afahamu na kuchukua Hatua.
Habari zenu wote?
Siku kadhaa nyuma nimejikuta kwenye wakati mgumu mno,
Hivi karibuni niliwiwa kwenda kupima kama sehemu ya kuifahamu afya yangu,
majibu yangu hayakuwa ya kufurahisha, nilichanganyikiwa na nikajichukia mno,
nikajutia nyakati zote za kukutana bila kinga na kujikuta nimechukua sex mnoo.
Ila baada ya kumweleza rafiki yangu alinipa moyo na nipo naendelea kuishi kwa matumaini.
my take ;
usimpime Mtu kwa macho.
Tutumie vipimo tutumie kinga.
#lets stay positive.
na vipi umeweza kujua mpenzi aliyekuambukiza? kuna dalili zipi uliona mwanzo hadi ukashawishika kupima.Habari zenu wote?