Ningekuwa na pesa ningekuoa. Tatizo pesaDuh! Pole sana dada ila unakaujasiri!.. Mungu akuongoze vyema uishi salama akupe moyo wa ustahimilivu nasisi Kama wana jamiiforum wenzako tupo nyuma yako kukutia moyo..
DilemmaMara paap! +ve ni malaria[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au ujauzito
For real, take heart my dear!Shit happens
***** mkuu mi mwanaume acha ufala wa kikenge..Ningekuwa na pesa ningekuoa. Tatizo pesa
Utakufa harakaMimi sina ujasiri wa kupima ugonjwa ambao najua hauna dawa, sijui nimeumbwaje
Aya mama , kwa uhitaji wowote ule wa afya ya mwili, akili, kiroho nakijamiiYou nailed it
anytime mamii!Asantee [emoji8]
Yes Hornet mimi
HIV
Anzisha uzi wako basi.Halafu onasemekana vile vidonge ndo kabuli lenyew kuna mdau alidai hivo, akasema ndo sababu walevi wengi hawafi mapema kwa sababu hawazingatii ratiba ya dozi
Keep your spirit high, mimi nina bro wangu anao huu mwaka wa 19 na yuko fresh tu kiasi kwamba uwa hospital wanamwambia yuko vizuri kama vile hana hiyo mambo.Habari zenu wote?
Siku kadhaa nyuma nimejikuta kwenye wakati mgumu mno,
Hivi karibuni niliwiwa kwenda kupima kama sehemu ya kuifahamu afya yangu,
majibu yangu hayakuwa ya kufurahisha, nilichanganyikiwa na nikajichukia mno,
nikajutia nyakati zote za kukutana bila kinga na kujikuta nimechukua sex mnoo.
Ila baada ya kumweleza rafiki yangu alinipa moyo na nipo naendelea kuishi kwa matumaini.
my take ;
usimpime Mtu kwa macho.
Tutumie vipimo tutumie kinga.
#lets stay positive.
haaaa!! samahani sana mkuu. Nikajua ni jinsia ke. mh!! Nisamehe bure, yaani seriously naomba msamaha mkuu.***** mkuu mi mwanaume acha ufala wa kikenge..