My confession: Hornet is Positive

Status
Not open for further replies.
Nawaona wazee wa kula tunda kimasihara na wale wote waliokuletea shobo hapa jamvini, wakipita kimya kimya bila kucommet chochote.... Pole sana mkuu yote ni maisha kikubwa uhai
[emoji28][emoji28] wanaruhusiwa kupima pia
 
Asante
 
Pole sana.

Ila andiko lako nafikiri dakika hii limenizuia nisiingie majaribu. Kuna demu hapa niko nae harafu mazingira hatarishi akili ilinituma tu nipime moto kwa petrol. Umeniokoa.
 
Pole sana.

Ila andiko lako nafikiri dakika hii limenizuia nisiingie majaribu. Kuna demu hapa niko nae harafu mazingira hatarishi akili ilinituma tu nipime moto kwa petrol. Umeniokoa.
Chukua tahadhari tumia kinga
 
No big deal, ma mdogo wangu alikutwa na huu ugonjwa mimi nipo la nne.

Nimeenda Sekondari, O na A level, nimeenda chuo.

Nipo uraiani zaidi ya miaka 4.

Nimepata mtoto.

Na yupo bado.

Yeye na mumewe, wote wapo.

Naona nitaendelea kuona koment zako mpaka huyu mwanangu atakapoolewa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…