My confession: Hornet is Positive

Status
Not open for further replies.
Kwanza naomba nikupongeze, na mwisho naomba nikutie moyo kwamba kuambukizwa HIV sio kifo.
Wewe umepima au una ushujaa kama wangu? Mi kupima labda greda la Manispaa lije linizoe linipeleke kwa mpimaji. Na mpimaji awe amekamata AK47 mtutu kauelekeza kwenye medula oblangata... Afu chupa kubwa ya K Vant iwe inaniangalia kwa huzuni...
 
Wewe umepima au una kishujaa kama wangu. Mi kupima labda greda la Manispaa lije linizoe linipeleke kea mpimaji. Na mpimaji awe amekamata AK47 mtutu kauelekeza kwenye medula oblangata... Afu chupa kubwa ya K Vant iwe inaniangalia kwa huzuni...
Hahahaa mimi nilipima kama mwezi hivi umepitaa kwa kulazimishwa na wife..aisee zile dk za kusubiri maajibu zilikua ndefu mnoo,wife akaniambia mbona hutulii unajua madhambi yako sio
 
Astaghafirulilah... unatumia K Vant au Konyagi?

Wewe ushapima lakini nawe tukupongeze?

Mimi kupima nlishasemaga labda nishikiwe mtutu wa bunduki ya kivita.
Sasa hivi nimejiwekea kautaratibu kakupima kila mwezii...nimehamia kwenye grants siku hizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu fuata masharti na ushauri wa wataalam maisha yaendelee.

Punguza masuala ya tunda kimasihara
 

Beberu siyo tusi. Ni sifa njema!
 
Pole saana muhimu umesema Maisha yanaendelea hiyo ni hatua kubwa Sana umefikia.
Zingatia saana ushauri wa wahudumu wa afya utaishi Maisha ya kawaida kabisa.
Usilaumu Wala kunyoosha kidole kwa yeyote.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…