Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Wewe umepima au una ushujaa kama wangu? Mi kupima labda greda la Manispaa lije linizoe linipeleke kwa mpimaji. Na mpimaji awe amekamata AK47 mtutu kauelekeza kwenye medula oblangata... Afu chupa kubwa ya K Vant iwe inaniangalia kwa huzuni...Kwanza naomba nikupongeze, na mwisho naomba nikutie moyo kwamba kuambukizwa HIV sio kifo.