My confession: Hornet is Positive

My confession: Hornet is Positive

Status
Not open for further replies.
Watu wanasema tuu, eti ukimwi ni kama malaria lkn kukubaliana na ugonjwa huu sio rahisi kihivyo
Mkuu hongera kwa ujasiri huu, mie nilimuamin mtu akanifanyia ndivyo sivyo, nilikaa mwaka mzima naogopa kupima

Mwezi uliopita nimepima nipo negative, nikamtumia msg pamoja na yote nashukuru hukunipa ukimwi 😃😃😃😃
Sasa hivi akili imenikaa sawa.
Tusipimane kwa macho
 
Watu wanasema tuu, eti ukimwi ni kama malaria lkn kukubaliana na ugonjwa huu sio rahisi kihivyo
Mkuu hongera kwa ujasiri huu, mie nilimuamin mtu akanifanyia ndivyo sivyo, nilikaa mwaka mzima naogopa kupima

Mwezi uliopita nimepima nipo negative, nikamtumia msg pamoja na yote nashukuru hukunipa ukimwi [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Sasa hivi akili imenikaa sawa.
Tusipimane kwa macho
Siyo rahisi kukubaliana nao kiukweli
 
Habari zenu wote?

Siku kadhaa nyuma nimejikuta kwenye wakati mgumu mno,

Hivi karibuni niliwiwa kwenda kupima kama sehemu ya kuifahamu afya yangu,

majibu yangu hayakuwa ya kufurahisha, nilichanganyikiwa na nikajichukia mno,
nikajutia nyakati zote za kukutana bila kinga na kujikuta nimechukua sex mnoo.

Ila baada ya kumweleza rafiki yangu alinipa moyo na nipo naendelea kuishi kwa matumaini.

my take ;
usimpime Mtu kwa macho.
Tutumie vipimo tutumie kinga.

#lets stay positive.
You are amazing!,
 
Tuone vipimo mkuu maana nami leo nimepimwa kwalazima
 
Pole ya nini mkuu?

Mi nilitegemea ungempa hongera ya kupata ujasiri wa kwenda kupima na kuyakubali matokeo.

Wengi watampa pole wakati wao hawajapima. Waweza kukuta unampa pole mwenye afadhali zaidi yako
Basi ngoja nimpe hongeraa mkuu...

Hongera shemeji Hornet kwa kupatukana na ngwengwe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom