My confession: Hornet is Positive

My confession: Hornet is Positive

Status
Not open for further replies.
Wewe umepima au una kishujaa kama wangu. Mi kupima labda greda la Manispaa lije linizoe linipeleke kea mpimaji. Na mpimaji awe amekamata AK47 mtutu kauelekeza kwenye medula oblangata... Afu chupa kubwa ya K Vant iwe inaniangalia kwa huzuni...
Mimi nilikua nasema hivo hivo, yamenikuta leo wakanipima kwa lazima. Nimewakwepa leo nimepatikana Asee Mungu mwema niko safi
 
Pole Hornet na hongera kwa hatua uliyochukua kuijua afya yako na kuelewa kuwa positive sio mwisho wa maisha.

Pia hongera kwa kuweza kutoa elimu kwa wanajamii forum kuhusu hilo
Utaishi kadri ya Mungu alivyokupangia siku za uhai wako
 
Watu wanasema tuu, eti ukimwi ni kama malaria lkn kukubaliana na ugonjwa huu sio rahisi kihivyo
Mkuu hongera kwa ujasiri huu, mie nilimuamin mtu akanifanyia ndivyo sivyo, nilikaa mwaka mzima naogopa kupima

Mwezi uliopita nimepima nipo negative, nikamtumia msg pamoja na yote nashukuru hukunipa ukimwi 😃😃😃😃
Sasa hivi akili imenikaa sawa.
Tusipimane kwa macho
Si ulikuwa unataka hela? Alitaka kukupa na nyongeza.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom