My confession: Hornet is Positive

My confession: Hornet is Positive

Status
Not open for further replies.
Nawaona wazee wa kula tunda kimasihara na wale wote waliokuletea shobo hapa jamvini, wakipita kimya kimya bila kucommet chochote.... Pole sana mkuu yote ni maisha kikubwa uhai
Vile wazee wa kula tunda kimasihara wanatoa mimacho saa hizi!
JamiiForums-1439152157.jpg
 
Hornet yuko humu miaka mingi hawezi KUKURUPUKA na kuja kuandika kitu serious kama hiki ili kufurahisha ukumbi tu, hana tabia hiyo.
Yaani!hata uandishi tu unaweza kukufanya ujue userious wa jambo lenyewe jamani
 
Habari zenu wote?

Siku kadhaa nyuma nimejikuta kwenye wakati mgumu mno,

Hivi karibuni niliwiwa kwenda kupima kama sehemu ya kuifahamu afya yangu,

majibu yangu hayakuwa ya kufurahisha, nilichanganyikiwa na nikajichukia mno,
nikajutia nyakati zote za kukutana bila kinga na kujikuta nimechukua sex mnoo.

Ila baada ya kumweleza rafiki yangu alinipa moyo na nipo naendelea kuishi kwa matumaini.

my take ;
usimpime Mtu kwa macho.
Tutumie vipimo tutumie kinga.

#lets stay positive.
Daah pole sana
 
Nawaona wazee wa kula tunda kimasihara na wale wote waliokuletea shobo hapa jamvini, wakipita kimya kimya bila kucommet chochote.... Pole sana mkuu yote ni maisha kikubwa uhai
wapi mtoa bandiko kasema kula tunda kimasihara ndo chanzo, ingekuwa ivo mbona wengi tungewaka. acha kuhusisha kula tunda kimasihara na haya. Maana mtoa bandiko ana kili alijisahau kumwamini jamaa kumbe kawaka
 
Habari zenu wote?

Siku kadhaa nyuma nimejikuta kwenye wakati mgumu mno,

Hivi karibuni niliwiwa kwenda kupima kama sehemu ya kuifahamu afya yangu,

majibu yangu hayakuwa ya kufurahisha, nilichanganyikiwa na nikajichukia mno,
nikajutia nyakati zote za kukutana bila kinga na kujikuta nimechukua sex mnoo.

Ila baada ya kumweleza rafiki yangu alinipa moyo na nipo naendelea kuishi kwa matumaini.

my take ;
usimpime Mtu kwa macho.
Tutumie vipimo tutumie kinga.

#lets stay positive.
But positive for what?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom