My confession: Hornet is Positive

My confession: Hornet is Positive

Status
Not open for further replies.
Huna ustaarabu hata kidogo...huna nasema...usipende kujifanya msafi shit happens...chukua angalizo Basi ..sionkuanza kumnyanyapaa mtu kisa aloweka Uzi zake .khaa grow up
Wakikushinda niite niongeze nguvu.
Namimi wakinishinda nitamuita Hannah lakini kwa sasa najua wewe unawamudu.
 
Nawaona wababa mnavyo sutana humu.
Nawaona members wanavyo mnyanyapaa mleta mada bila hata aibu....
Nawaona members wanavyo jifanya wasafi na wakamilifu....
Nawaona members wanavyo jitoa ufahamu kana kwamba kwenye familia zao hakuna walio ambukizwa HIV....
Nawaona members wanavyo mhukumu mleta post kana kwamba yeye ndie mtenda dhambi sana.....
 
Ni wanafiki tu, Watanzania ndivyo walivyo, ukiwaambia tatizo lako watajifanya wakusikitikia kumbe kinyume chake.
Ugonjwa huu ni wa kawaida tu, kinachoua zaidi ni hofu.
Mi wapi tumemdhihaki?
Dah yan mie sielewi, nimezika ndugu kibao kwa huu ugonjwa ila nashangaa kuona tunakuwa attacked kama vile its 1980 na Hornet ndio muathirika wa pili.

Tumejaribu kumpa moyo kuwa ugonjwa sio ishu sana na ndio nikawa naelezea kisa changu ila nimegeuka mnyanyapaa tena
 
Isikupe taabu mkuu, kuna watu hawajambo kujipendekeza japo ni kinafiki tu.
 
Nawaona wababa mnavyo sutana humu.
Nawaona members wanavyo mnyanyapaa mleta mada bila hata aibu....
Nawaona members wanavyo jifanya wasafi na wakamilifu....
Nawaona members wanavyo jitoa ufahamu kana kwamba kwenye familia zao hakuna walio ambukizwa HIV....
Nawaona members wanavyo mhukumu mleta post kana kwamba yeye ndie mtenda dhambi sana.....

QUIGLEY,
Extrovert
Jibu lenu liko hapa..nimemaliza
 
Hongera kwa ujasiri wako! Lakini pia now days huu ugonjwa ni kufuata masharti tu..nothing to fear..Natumai utabadili mtizamo wa wengi humu.
Siku hizi ugonjwa huu wala sio wa aibu wala kutisha kama awali.
Hakuna familia ambayo haijaguswa kwa namna moja au nyingine na ugonjwa huu.
Ugonjwa hatari ni cancer na kisukari na sio huu kwa siku hizi
 
Mkuu uliuonaga uzi?
Hii hapa na Ile ulisema Kuna faulo nyingi blah blah kibao Kuna marafiki zako unajua walipita eish..hebu kuwa mstaarabu ..Hilo gonjwa kila familia imeathirika..
Kama hukua na Nia mbaya mbona umefuta Ile post! Jamani kuweni real unafiki sio mzuri..ugonjwa inaumiza ndio hatukatai lakini Sasa nyie mmeanza kufukua nyuzi zake as if nyie wasafi
 
Habari zenu wote?

Siku kadhaa nyuma nimejikuta kwenye wakati mgumu mno,

Hivi karibuni niliwiwa kwenda kupima kama sehemu ya kuifahamu afya yangu,

majibu yangu hayakuwa ya kufurahisha, nilichanganyikiwa na nikajichukia mno,
nikajutia nyakati zote za kukutana bila kinga na kujikuta nimechukua sex mnoo.

Ila baada ya kumweleza rafiki yangu alinipa moyo na nipo naendelea kuishi kwa matumaini.

my take ;
usimpime Mtu kwa macho.
Tutumie vipimo tutumie kinga.

#lets stay positive.
Hivi mnalipwa dollar ngapi kufanya matangazo kama haya, maana mkiona watu wameanza kusahau sahau mnaibuka kuwakumbushia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom