My Confession: Nilivyohudumia Mimba iliyokuwa na Baba 5 pasipo Kujuana

Hapo babu ulijua kujimix, mwisho ungembebea bibi magonjwa tu..!!

Mwanamke mmoja wanaume wa 5 😥
Huyo mtoto ndo anakuja kuwa malaya shindikanaa sababu ya kushuhudia mahangaiko ya utungwaji mimba wake..!!
Of course kuna hatihati mwanaye akaja kuwa kiwembe hatari, manake kuna probability akarithi vya Mama yake

Mahusiano yenye chain ndefu hivyo, mmoja akipata maradhi automatic wote mnapata
 
Hii stori inanipa maswali mengi,japo siwezi kusema kama ni ya uongo au laa.Mambo ya muhimu ni hivi,huyu mwanamke alikuwa mjinga kiasi gani,hadi kumuacha huyo baba wa mchongo na hizo bahasha kwenye droo?
Kwani alitarajia nini? Alidhani kuwa huyo ni mwanaume bwege kiasi ambacho hatachakurachakura droo kutafuta taarifa,wakati kishatilia mashaka nasaba na huyo mtoto?
 
Wakati mwingine Mungu akiamua lake hakuna wa kupinga, huenda Mungu alinitaka nijitoe kwenye yale mahusiano kwa style Ile

Yaani uthibitisho wote unawekwa hadharani
 
Duh! Mwanamke ni hatarii sana sana, jitoe mzima mzima na kuoza, utoana moto wake.
Ila wanavyolalamika utafikiri they are vulnerable creatures!
 
Kwan waswahili wanavyosemaga za mwizi arobaini ujui wanamaanisha nn au ngoma ikivuma sana
 
Natamani niendelee reply yangu isomeke part 1 ya Gen z, maana wewe nona unajiita wa siku nyingi. Kuna mkasaa kama huu una mwezi ila huku baba ni watatu sio watano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…