My dream man!! Je wewe kaka una sifa hizi?


Nina bosi wangu hapa mtasha anazo! ila ukimpata itabidi nami unijali kiutu uzima....
 

Umenikuna kweli kweli....
 
Haya sasa,

Tausi karibu jamvini,hii mada ntachangia muda mwingine

Ila una vituko,yaani unataka kufanya game ya Tendwa na CCJ tena.nimecheka kweli

@Roselyine,naona unakomaa kweli.itifaki
 
Haya sasa,

Tausi karibu jamvini,hii mada ntachangia muda mwingine

Ila una vituko,yaani unataka kufanya game ya Tendwa na CCJ tena.nimecheka kweli

@Roselyine,naona unakomaa kweli.itifaki

Ben my friend..... sitanii........im damned serious Oh! OGAHHHHH!
 
Sasa wewe yote Sipendi Sipendi..with this attitude mmmhhh utafika kweli? Sema unapenda nini?
 
Hivi naombeni kuuliza wajameni..Kupenda mtu anaamua au hutokea tu bila mtu kupanga wala kujijua? na hivi ikitokea uliyempenda anapendwa na wanawake/wanaume wengi unaacha kumpenda huta pambana ili awe wako?

Ndo hapo sasa, maana nacho jua love ni kitu ambacho hutokea bila kupigiwa mahesabu. Sijui siku hizi mambo yakoje lakini naamini watu wengi waliodhani love ni magari ya kifahari, au ni mtu asiyegombaniwa na watu wengine au ni any material things nje ya feelings, wamejikuta kwenye wakati mgumu maana siku ukikutana na mtu ambaye unamsikia toka moyoni, yale uliyoyafanya inakuwa rahisi kuyasaliti. Lakini kwako kila la kheri!!! Ingelikuwa ni mimi, nisingelifanya chochote mpaka nikuone mtu mwenyewe kama una meet matarajio yangu...siwezi kufanya kosa la kupenda online,halafu siku ya siku nikalia mwenyewe kufanya makosa yanayoepukika.
 

Wapi mamaa WOS?
Nimekukubali dada.... imetulia kabisa hii...

Nitakuomba uwe Maid of Honor kwenye harusi yangu mamaa!

Niaku PM unipe mbinu na mikakati zaidi ya kufanikisha azma yangu.
PLS DONT SAY NO PLLLLLZZZZZZ
 
Kazi kwelikweli. Nina sifa zote lakini sijui sifa zao sijui utanisaidiaje. Pia nina tatizo na mbunye kwasababu ninazipata kwa shida sana zote zinazojileta huwa siziachii kabisa; sasa kwahiyo sijui kama nitachomoka kabla ya kupekenyua vu$i. Je! hili utaridhia?
 
kumbe dada Tausi bado uko single ? all ze best

Duh,sijui nikirudi Tz nikuletee zawadi gani. . .
Dada hukawii kujiridhisha kwamba kama yuko single.Last time uliulizia hivi , nijipatia mchumba kwenye ile thread . .
 
Weka picha na CV yako
Leta shahidi moja kutoka kila mkoa wa TZ bara kukuunga mkono

Du yawezekana wewe ni katibu mhtasari wa tendwa, mme wamnadi tanzania nzima. amekuwa CCM au CCJ!! anyaway keep on searching!!!
 
AND THE WINNER ISSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSS!!!!!!!!!...........................................

Kaa chonjo.... jibu laja
 
AND THE WINNER ISSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSS!!!!!!!!!...........................................

Kaa chonjo.... jibu laja

hebu usintaje hapa tafadhali Tausi.....UTAHARIBU MAZIMA
 

hakuna mwamme kama huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…