Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
That ain't your bitch no more fella, stick to shyt that concerns you.The truth is sitaki kujihusisha but the battle within me is getting serious and it is affecting me.SO How do I get over that?
kumbe ujinga hujaacha tu. Ndoa na iheshiwe na WATU WOTE. heshimu ndoa ya watu kakaKwa miaka kadhaa iliyopita nilikuwa na mahusiana na mwanamke ambaye tulitokea kupata mtoto mmoja.Kutokana na saabu mbalimbali ikiwamo hali ngumu ya kiuchumi na changamoto nyingine za kimahusiano.Uhusiano wetu ulivunjika na Mwanamke akampeleka mtoto kwa BIBI yake na kisha akaolewa na yule bwana ambaye alikuwa sababu ya uhusiano wetu kuvunjika pamoja na madhaifu yetu.
Hata hivyo watu waliokuwa wanafahamu kuhusu uhusiano wetu walijaribu kuturudisha pamoja lakini mwanamke huyu alikataa kata kata kwa sababu mbalimbali.
Sababu ya kuandika uzi na kutaka ushauri wenu.NIFANYE NINI?
Kwa mujibu wa taarifa nilizopata huyu EX wife anapitia kipindi kigumu sana kwani uhusiano aliopo sasa ni very abusive(KIPIGO,MANYANYASO etc) Mateso anayopata ni ma,kubwa ila pamoja na hayo bado hatoki katika uhusiano(Binafsi nafikiri ni kwa sababu ya Majuto na kufikiri kwamba anastahili adhabu anayopata kwa sababu ya aliyofanya nyuma)
Pamoja na hayo yote nimejisikia kuumia sana baada ya kupata taarifa hizo ingawa sina ushahidi.Kuna uwezekano wa kumuona na kuzungumza naye ingawa binafsi nachelea kufanya hivyo hasa kutokana na mamao aliyonifanyia na pia kuepuka kuvuruga uhusiano wangu wa sasa.Baada ya kuachana naye alininyima access ya mtoto na hivyo taarifa za Mtoto nazipata kupitia kwa mdogo wake ambaye huwa ana namba yangu.
Tangu nipate habari hii nimeumia sana,nimetumia muda mwingi kusali ni kumuoma Mungu amsaidi lakini bado nakuwa na msongo wa mawazo kwa sababu yake.Hali imeathiri sana mambo yangu mengine.Nashindwa kuelewa ni kwa nini inakuwa hivi.JE NIFANYEJE ILI NIMTOE KATIKA UHUSIANO HUU IWAPO NI ABUSIVE.Je kwa nini nimekuwa na maumivu makali kwa sababu ya mateso yake?Je ni kwamba ninampenda au ni mimi tu nina matatizo yangu.
Tupeane ushauri juu ya nini naweza kufanya ili kuepuka msongo na mambo mengine ambyo naweza fanya katika hali kama hii.
MREJESHO
Kwa wote ambao mmechangia uzi huu shukrani za dhati sana.Wengi mnaweza msijue ila kwa kiwango kikubwa mnaweza kuwa mmeokoa uhai wa mtu,familia ya mtu na hata maisha ya mtu.Kuna ambao wamechukulia hili jambo kwa wepesi bila kujali hali ya mwanamke ambaye yuko katika uhusiano wenye abuse na pia kuna ambao hawajazingatia kwamba mwanaume pia aliachana na huyu mwanamke kwa sababu fulani ambazo nazo zina nafasi katika mjadala huu.Mapenzi/upendo ni jambo la kihisia ambalo huanza taratibu na kadiri mtu anavyoishi na mtu hujikuta anamzoe,anamkubali pamoja na madhaifu na kumpenda zaidi.
Kwa kawaida kabisa hakuna mwanandamu asiyekuwa na mapungufu lakini unapovumilia na kuzoea mapungufu ya mtu ndio unavozidi kuzama kihisia kwa muhusika.Unapozama sana katika hisia huwa uhusiano unapovunjika inakuwa ngumu sana wewe kuvuka na kumove on.Utafiti unaonesha kwamba asilimia kubwa ya watu huwa wana baki na majeraha na maumivu moyoni yanayochukua muda mrefu kupona baada ya uhusiano wowote kuvunjika.Wengine hushindwa kuanzisha uhusiano mpya kwa sababu ya majeraha ya uhusiano wa zamani na wengine hubeba majeraha yao ya zamani na kwenda nayo katika uhusiano mpya ambapo hufikia hatua yakawaathiri wao katika uhusiano mpya.
Kwa kuzingatia ushauri wa wadau hapa na kwa kuzingatia furaha na amani yangu nimechukua uamuzi wa kwamba SITAMTAFUTA TENA MWENZA WANGU HUYU ili kufahamu zaidi kinachoendelea katika maisha yake na wala sitaweka nafasi ya yeye kuweza kunifikia mimi kwa namna yoyte ile.Nitaendelea na uhusiano wangu na mtoto wangu kama ilivyokuwa awali.
Kwa sababu ya athari niliyoipita kihisia kutokana na swala hili ninatafuta Kiasi fulani cha Pesa ili nipange LIKIZO kwa ajili ya Mke wangu na watoto wangu ili tutafute muda wa kukaa pamoja na kurenew nafsi na hisia zetu pamoja na kufanya BONDING zaidi ili kuepuka kufanya MAKOSA.
Hata hivyo nimeongeza IBADA kwa MUNGU ili anisaidie na kunipa NGUVU kwani kwa kiasi kikubwa sana ili jambo liliathiri mfumo wangu wa FIKRA na HISIA na kwamba ninahitaji kubadilisha kabisa mtazamo wangu na kuhakikisha kwamba ninayaacha ya NYUMA yabaki NYUMA.
Asanteni kwa wote mliochangia.Natumaini kwa yeyote ambaye anapitia Mgogoro kama huu anaweza PATA ushauri mzuri katika baadhi ya Michango ya WATU.
Wewe utakua na tatizo kichwani,yani aondoke kwako na kuhamia kwa mwanaume mwingine...then unaforce akurudie,nyie ndio huwa mnajinyonga au kuua mwanamke kisa mapenziKwa miaka kadhaa iliyopita nilikuwa na mahusiana na mwanamke ambaye tulitokea kupata mtoto mmoja.Kutokana na saabu mbalimbali ikiwamo hali ngumu ya kiuchumi na changamoto nyingine za kimahusiano.Uhusiano wetu ulivunjika na Mwanamke akampeleka mtoto kwa BIBI yake na kisha akaolewa na yule bwana ambaye alikuwa sababu ya uhusiano wetu kuvunjika pamoja na madhaifu yetu.