Mtu anatumia kilicho shindikana wakati wake kwa matatizo ayapatayo hasimu wake leo kwa mwingine...
Ni kukoswa akili tu..
Wewe unadhani ndio the best person on this world sababu tu huyo aliekuacha anapata matatizo sasa hivi?
Ungekua the best kama unavyojifaragua hapa huyo mwanamke asingekuacha to begin with...
Kuna sababu kwanini alikuacha,na funny enough huenda ikawa sababu tofauti kabisa na hii uliyotoa hapa wewe,maana hii ni wewe umeona kwa macho yako ila muhusika huenda akawa na other reasons contrary to wewe!
Acheni kujiona wa maana sababu fulani aliekukataa anapitia mitihani yake....no,you are not,you are just lame ass motherfvcker like the rest of all of us!