Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu ila ndvyo walivyo ndiyo maana tumeambiwa tuishi nao kwa akili.Mkuu inaonekana una uchungu nao...!
Eti anateseka lakini hataki kutoka kwenye hayo mahusiano sababu anajutia aliyoyafanya nyuma,acha kujidanganya wewe,ukute jamaa anamkaza vizuri mpaka dem anapagawa hataki kumuacha.Kwa miaka kadhaa iliyopita nilikuwa na mahusiana na mwanamke ambaye tulitokea kupata mtoto mmoja.Kutokana na saabu mbalimbali ikiwamo hali ngumu ya kiuchumi na changamoto nyingine za kimahusiano.Uhusiano wetu ulivunjika na Mwanamke akampeleka mtoto kwa BIBI yake na kisha akaolewa na yule bwana ambaye alikuwa sababu ya uhusiano wetu kuvunjika pamoja na madhaifu yetu.
Hata hivyo watu waliokuwa wanafahamu kuhusu uhusiano wetu walijaribu kuturudisha pamoja lakini mwanamke huyu alikataa kata kata kwa sababu mbalimbali.
Sababu ya kuandika uzi na kutaka ushauri wenu.NIFANYE NINI?
Kwa mujibu wa taarifa nilizopata huyu EX wife anapitia kipindi kigumu sana kwani uhusiano aliopo sasa ni very abusive(KIPIGO,MANYANYASO etc) Mateso anayopata ni ma,kubwa ila pamoja na hayo bado hatoki katika uhusiano(Binafsi nafikiri ni kwa sababu ya Majuto na kufikiri kwamba anastahili adhabu anayopata kwa sababu ya aliyofanya nyuma)
Pamoja na hayo yote nimejisikia kuumia sana baada ya kupata taarifa hizo ingawa sina ushahidi.Kuna uwezekano wa kumuona na kuzungumza naye ingawa binafsi nachelea kufanya hivyo hasa kutokana na mamao aliyonifanyia na pia kuepuka kuvuruga uhusiano wangu wa sasa.Baada ya kuachana naye alininyima access ya mtoto na hivyo taarifa za Mtoto nazipata kupitia kwa mdogo wake ambaye huwa ana namba yangu.
Tangu nipate habari hii nimeumia sana,nimetumia muda mwingi kusali ni kumuoma Mungu amsaidi lakini bado nakuwa na msongo wa mawazo kwa sababu yake.Hali imeathiri sana mambo yangu mengine.Nashindwa kuelewa ni kwa nini inakuwa hivi.JE NIFANYEJE ILI NIMTOE KATIKA UHUSIANO HUU IWAPO NI ABUSIVE.Je kwa nini nimekuwa na maumivu makali kwa sababu ya mateso yake?Je ni kwamba ninampenda au ni mimi tu nina matatizo yangu.
Tupeane ushauri juu ya nini naweza kufanya ili kuepuka msongo na mambo mengine ambyo naweza fanya katika hali kama hii.
Hakuna, lkn naomba nawe nkuulize swali, je kuna mtu anapenda uchafu? Mbn kuna watu tunawaita yule mchafu yuleee.Kuna mwanamke anapenda kupigwa?
Kwa miaka kadhaa iliyopita nilikuwa na mahusiana na mwanamke ambaye tulitokea kupata mtoto mmoja.Kutokana na saabu mbalimbali ikiwamo hali ngumu ya kiuchumi na changamoto nyingine za kimahusiano.Uhusiano wetu ulivunjika na Mwanamke akampeleka mtoto kwa BIBI yake na kisha akaolewa na yule bwana ambaye alikuwa sababu ya uhusiano wetu kuvunjika pamoja na madhaifu yetu.
Hata hivyo watu waliokuwa wanafahamu kuhusu uhusiano wetu walijaribu kuturudisha pamoja lakini mwanamke huyu alikataa kata kata kwa sababu mbalimbali.
Sababu ya kuandika uzi na kutaka ushauri wenu.NIFANYE NINI?
Kwa mujibu wa taarifa nilizopata huyu EX wife anapitia kipindi kigumu sana kwani uhusiano aliopo sasa ni very abusive(KIPIGO,MANYANYASO etc) Mateso anayopata ni ma,kubwa ila pamoja na hayo bado hatoki katika uhusiano(Binafsi nafikiri ni kwa sababu ya Majuto na kufikiri kwamba anastahili adhabu anayopata kwa sababu ya aliyofanya nyuma)
Pamoja na hayo yote nimejisikia kuumia sana baada ya kupata taarifa hizo ingawa sina ushahidi.Kuna uwezekano wa kumuona na kuzungumza naye ingawa binafsi nachelea kufanya hivyo hasa kutokana na mamao aliyonifanyia na pia kuepuka kuvuruga uhusiano wangu wa sasa.Baada ya kuachana naye alininyima access ya mtoto na hivyo taarifa za Mtoto nazipata kupitia kwa mdogo wake ambaye huwa ana namba yangu.
Tangu nipate habari hii nimeumia sana,nimetumia muda mwingi kusali ni kumuoma Mungu amsaidi lakini bado nakuwa na msongo wa mawazo kwa sababu yake.Hali imeathiri sana mambo yangu mengine.Nashindwa kuelewa ni kwa nini inakuwa hivi.JE NIFANYEJE ILI NIMTOE KATIKA UHUSIANO HUU IWAPO NI ABUSIVE.Je kwa nini nimekuwa na maumivu makali kwa sababu ya mateso yake?Je ni kwamba ninampenda au ni mimi tu nina matatizo yangu.
Tupeane ushauri juu ya nini naweza kufanya ili kuepuka msongo na mambo mengine ambyo naweza fanya katika hali kama hii.
Kama unaona kuna njia sahihi unayoweza kumfanya asiteseke msaidie mapema kabla ya kufika stage ambayo ukajuta why ukumsaidia na wakat ulikua na uwezo wa kumsaidia ........Kwa miaka kadhaa iliyopita nilikuwa na mahusiana na mwanamke ambaye tulitokea kupata mtoto mmoja.Kutokana na saabu mbalimbali ikiwamo hali ngumu ya kiuchumi na changamoto nyingine za kimahusiano.Uhusiano wetu ulivunjika na Mwanamke akampeleka mtoto kwa BIBI yake na kisha akaolewa na yule bwana ambaye alikuwa sababu ya uhusiano wetu kuvunjika pamoja na madhaifu yetu.
Hata hivyo watu waliokuwa wanafahamu kuhusu uhusiano wetu walijaribu kuturudisha pamoja lakini mwanamke huyu alikataa kata kata kwa sababu mbalimbali.
Sababu ya kuandika uzi na kutaka ushauri wenu.NIFANYE NINI?
Kwa mujibu wa taarifa nilizopata huyu EX wife anapitia kipindi kigumu sana kwani uhusiano aliopo sasa ni very abusive(KIPIGO,MANYANYASO etc) Mateso anayopata ni ma,kubwa ila pamoja na hayo bado hatoki katika uhusiano(Binafsi nafikiri ni kwa sababu ya Majuto na kufikiri kwamba anastahili adhabu anayopata kwa sababu ya aliyofanya nyuma)
Pamoja na hayo yote nimejisikia kuumia sana baada ya kupata taarifa hizo ingawa sina ushahidi.Kuna uwezekano wa kumuona na kuzungumza naye ingawa binafsi nachelea kufanya hivyo hasa kutokana na mamao aliyonifanyia na pia kuepuka kuvuruga uhusiano wangu wa sasa.Baada ya kuachana naye alininyima access ya mtoto na hivyo taarifa za Mtoto nazipata kupitia kwa mdogo wake ambaye huwa ana namba yangu.
Tangu nipate habari hii nimeumia sana,nimetumia muda mwingi kusali ni kumuoma Mungu amsaidi lakini bado nakuwa na msongo wa mawazo kwa sababu yake.Hali imeathiri sana mambo yangu mengine.Nashindwa kuelewa ni kwa nini inakuwa hivi.JE NIFANYEJE ILI NIMTOE KATIKA UHUSIANO HUU IWAPO NI ABUSIVE.Je kwa nini nimekuwa na maumivu makali kwa sababu ya mateso yake?Je ni kwamba ninampenda au ni mimi tu nina matatizo yangu.
Tupeane ushauri juu ya nini naweza kufanya ili kuepuka msongo na mambo mengine ambyo naweza fanya katika hali kama hii.
Inaonekana mwenzako alishamove on lakini wewe bado huja move on...Kumbuka yote aliyokufanyia na maumivu aliyokusababishia,then muangalie yule ulienae kwasasa,angalia upendo alionao kwako then move on mazima.You may be right.But why do I feel obligated.Is it because she left for another man?How can I get over that?It is not about me being perfect it is about her info affecting me and how to deal with that.
Sijaelewa mantiki ya swali,Hakuna, lkn naomba nawe nkuulize swali, je kuna mtu anapenda uchafu? Mbn kuna watu tunawaita yule mchafu yuleee.
Sababu ya kuandika uzi na kutaka ushauri wenu.NIFANYE NINI?
Kwa mujibu wa taarifa nilizopata huyu EX wife anapitia kipindi kigumu sana kwani uhusiano aliopo sasa ni very abusive
JE NIFANYEJE ILI NIMTOE KATIKA UHUSIANO HUU IWAPO NI ABUSIVE.Je kwa nini nimekuwa na maumivu makali kwa sababu ya mateso yake?Je ni kwamba ninampenda au ni mimi tu nina matatizo yangu.
Tupeane ushauri juu ya nini naweza kufanya ili kuepuka msongo na mambo mengine ambyo naweza fanya katika hali kama hii.
Sure kabisa huyu jamaa Hana lolote la maana mpaka aanze kuwaza maisha ya watu wengine asio hata na uhusiano wa kidamuHuna kazi za kufanya?
Hakuna mwanamke anayependa kupigwa, the same way as hakuna mtu anayependa uchafu ila matendo yako yatafanya watu wakuone unapenda uchafu, hupendi kufua, huogi, hupigi mswaki n.k unadhani watu watasemaje km co kukuona unapenda uchafu?Sijaelewa mantiki ya swali,
Nashindwa kukujibu
Hebu fafanua zaidi.
[emoji2]sawa mkuuHakuna mwanamke anayependa kupigwa, the same way as hakuna mtu anayependa uchafu ila matendo yako yatafanya watu wakuone unapenda uchafu, hupendi kufua, huogi, hupigi mswaki n.k unadhani watu watasemaje km co kukuona unapenda uchafu?
Ushauri mzuri sana.Dear OP. You are a really great man.
Kuachana na mtu, au mtu kukuacha hapafanyi muwe maadui. Hauna tatizo lolote, kwa binadamu wa kawaida kabisa hawezi kufurahia matatizo ya ex wake kwa sababu tu mliachana.
Unfortunately, "sidhani" kama kuna kitu unachoweza kufanya zaidi ya kuendelea kumuombea mpaka atakapogundua kwamba she deserves better.
I am sorry, that sounds tough.
Kwa nini asiende tu kumkomboa huko?Dear OP. You are a really great man.