My Ex Wife anateseka sana, nifanyeje?

My Ex Wife anateseka sana, nifanyeje?

Alcohol imeshindwa mzee sana sana imenileta vitabia vingine vya ajabu ajabu.Wishful thinking
Acha hizo, fanya maamuzi mbona unaogopa kutumia maamuzi magumu, kuna mwanamke nilimpenda asikuambi mtu ila baada sintofahamu tukaachana, imebaki story mzee, yeye ndiyo ananitafuta kila siku nasitaki hata kumla, kwa kuwa namheshimu nilienae sahivi maisha ni lazima yasonge
 
Duuh pole sana mkuu,inaonyesha ulimpenda na bado unampenda sana......ila hayakuhusu utakula mapanga bure kuanza kutaka kuongea na mke wa mtu
 
Dili na maisha yako.. manyanyaso yake hata hayakuhusu kalitafuta kalipata..labda Kama bado wampenda na unataka kuvunja mahusiano yako ya Sasa hapo sawa
 
Ushauri wangu no simple Sana[emoji4]

"ACHA KIHERE HERE"

!!!!!!!EEEEEBOOO![emoji44]!!!!!!!!!!!!!!
 
Mkuu najua,ila unajua tangu nipewe taarifa najaribu kuignore ila kama linazidi kusogea mbele zaidi.Natamani kupotezea ila ndo kama linazidi kuzama na kuniumiza
Wacha hizo mambo mkuu, wanawake hawako fair kabisa hv ushawahi jiuliza kwnn alitoka kwako? Ni kwasababu hukuwa unaishi naye vile yeye anataka, ss jamaa ndio anaishi naye vile anataka yn kipigo, manyanyaso, ugomvi na dharau hvyo ndvyo wanataka wanawake wengi hasa wa uswazi.

Usijiumize moyo nigga jali yako muache mpuuzi huyo mpk anyooke.
 
POLE SANA MKUU!!
Kuna mpenzi wa aina tatu:-
1.Mpenzi wa kuzaliwa nae:-Huyu unaunganishwa nae kwa asili yaani nature!mtakuna nae kawaida sana bila ishara yoyote ya mapenzi lakini kadri mda unavokwenda mapenzi huchanua na kukomaa na ikitokea hamkuoana kutokana na sabb fulani hisia zitadumu hata kama kila mmoja ana ndoa yake!!!
2.Mpenzi wa kutengeneza:-Unajikuta unataka kuwa na mtu au kuoa unamuona mtu japo hujampenda kivile lakini upo tayari kugharamika ili kumbadili aendane na wewe ili uishi nae!!hapa tupo wengi sana kwenye ndoa zetu hzi za sasa!!!
1.Mpenzi wa kimazingira:- hapa unajikuja upo mazingira mapya na una uhitaji wa muda mfupi wa kuwa na mtu!!unalianzisha na mwanasemina au mwana mtaa ili kukidhi haja ya kipindi fulani !!mapenzi ya aina hii hayadumu kabisa!!muda wa tukio ukiisha basi na uhitaji huisha!!!
JARIBU KUFIKIRIA HUYO EX WAKO NA MKE WAKO ULIENAE NI WAPENZI WA AINA GANI KWAKO!!!KAMA NIA AINA NAMBA MOJA BASI MAWASILIANO HAYAEPUKIKI SEMA YAFANYIKE KWA USALAMA NA HESHIMA KUMBUKA UMEZAA NAE HIYO NDIO KIUNGO NA SABABU MUHIM YA KUDUMISHA MAWASILIANO!!!
 
Mleta mada unaonekana ni mtu mwenye hisia kali sana pia una roho ya huruma,mimi nimekuelewa vizuri sana,huna jinsi inabidi tu ukaze roho na kuendelea na life yako pamoja na kutunza mwanao.
 
Nautuaje Mkuu?
Haya mambo ni yanaumiza sn aisee, ila ukijiendekeza ndo inazd kukuumiza, inaonesha kabla hata ya kusikia anateseka ulikuwa unamuwaza sn, ss hii inaonesha una mapenzi ya dhati kabisa kwa huyo mwanamama ila tatizo hawa wanawake hawako fair, uckute huyo unayeishi naye ww humpendi na anajua ila anakuvumilia, lkn ingelikuwa yeye hakupendi ww basi pasingelikalika hapo.

So nnachokushauri potezea na usimtafute kabisa uyo ex wako ngj akutafute mwenyewe cz km anapitia magumu ipo cku atarudi tu na akirudi hutakiwi kumuonesha mapenzi yale ya mwanzo, unapaswa ujikaze kidume cz wanawake wengi wa kiafrika hawapendi kupendwa.

Kaza moyo mkuu atarudi tu ila ss tatizo ww unampenda na hapo ndipo tatizo kubwa lilipo yn hamtadumu labda ujikaze kiume km nilivyokushauri hapo juu.
 
Wapo baadhi ya watu ambao fikra zao hudhani kwamba wanao uwezo wa kutatua kila tatizo likatizalo mbele yao, haiwezekani hata kidogo
 
itoshe kusema wewe ni mjinga wewe
Hapana co mjinga ni yanatokea, yapo na hayatoisha kutokea.

Mwanzoni nilimchukulia hvyo ulivyomchukulia ww but kuna kitu nmegundua baada ya kusoma replies zake jamaa anaumia sana and I can feel his pain.
 
Wapo baadhi ya watu ambao fikra zao hudhani kwamba wanao uwezo wa kutatua kila tatizo likatizalo mbele yao, haiwezekani hata kidogo
Mkuu si kweli kwamba nafikir naweza kumsaidia.Ila najikuta inakuwa kama vile inanihusu,yaani inanitoa katika normal mood yngu kila mara nikikumbuka.Kama imewahi kukutokea unajaribu kuficha sir then unaona kama vile inakaribia kujulikana basi it feels worse than that.
 
Wacha hizo mambo mkuu, wanawake hawako fair kabisa hv ushawahi jiuliza kwnn alitoka kwako? Ni kwasababu hukuwa unaishi naye vile yeye anataka, ss jamaa ndio anaishi naye vile anataka yn kipigo, manyanyaso, ugomvi na dharau hvyo ndvyo wanataka wanawake wengi hasa wa uswazi.

Usijiumize moyo nigga jali yako muache mpuuzi huyo mpk anyooke.
Kuna mwanamke anapenda kupigwa?
 
Mkuu inaonekana una uchungu nao...!
 
Back
Top Bottom