My Ex Wife anateseka sana, nifanyeje?

Jitahidi sana kijiepusha na mambo yasiyokuhusu, itakuepusha na matatizo mengi sana. Huwenda aliyekwambia pia amekudanganya ili kukufanya ujisikie faraja kuwa huko aliko anatamani kurudi kwako, yaani pamoja na kuwa umezidiwa kipato lakini uhisi mwanamke huyo anakukumbuka kwa namna fulani kama wewe unavyo mkumbuka. Jambo la mwisho, jitahidi sana kuepuka tabia ya kujipendekeza/shobo, itakuepusha na fedheha nyingi ambazo hukustahili na itakuongezea heshima ingawa unakipato kidogo.
 
kumbe ujinga hujaacha tu. Ndoa na iheshiwe na WATU WOTE. heshimu ndoa ya watu kaka
 
Aisee.Pole sana.Maisha yana mengi sana
 
Wewe utakua na tatizo kichwani,yani aondoke kwako na kuhamia kwa mwanaume mwingine...then unaforce akurudie,nyie ndio huwa mnajinyonga au kuua mwanamke kisa mapenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…