Hahhahahaaaa uwiiiiiii leo ni shiiiidahWatu wanajifanya wanatukana kunikatisha tamaa......Tena katika wanaotukana kuna mmoja alinitumia picha na boxer lake ....Subirini tu
HahahahahahahahahaWatu wanajifanya wanatukana kunikatisha tamaa......Tena katika wanaotukana kuna mmoja alinitumia picha na boxer lake ....Subirini tu
Watu wanajifanya wanatukana kunikatisha tamaa......Tena katika wanaotukana kuna mmoja alinitumia picha na boxer lake ....Subirini tu
Nimecheka kwa kupayuka......had glass imedondokaWatu wanajifanya wanatukana kunikatisha tamaa......Tena katika wanaotukana kuna mmoja alinitumia picha na boxer lake ....Subirini tu
Looooh!!!...... Nilikuwa namtaka sana Jimena kule PM ila sasa hivi sina furahaa tena kwani sina uhakika tena kama ni ke!!.....this thread had disappointed me very much![emoji17]Kwahiyo uliona kama tunafaidi sanaa ndo akaamua na wewe kujifanya ke???
Mkuu hii lazima itakuwa imetokea!!! Hahaaaaa!Dah, wewe leo umenichekesha sana.
Ha ha ha, ukute wamemtumia na nauli kabisa za kuja eneo la kukutana.
Broo wee unaheshimika sana humu na jamaa kasema kuna watu na heshima zao humu wamemrushia ndoano!Maandalizi ya kutumbuliwa majipu? Scree shot yangu tasavali usiiweke
Sidhani kama mods watakuacha, tena unaweza ukala BAN kadhaa, moja wa privacy ya watu kuiweka hadharani na pili kwa kuwa na id zaidi ya moja na kukiri kuwa unayo.Ndugu Watanzania wenzangu,
Badae nikipata muda nitatoa ushuhuda kuhusu yote niliyoyaona nikiwa na ID ya kike hapa JF...Nitaitaja ID yangu na pia nitawataja wote walionitongoza na walionitumia address na picha zao.
Nitaambatanisha na screenshot kama ushahidi...Dah kuna wengine wanaheshimika sana hapa JF.....
Nitarudi kutumbua majipu....
Yours Faithfully,
Vampire_hunter007
Vitendo vyao kama hivi ni vya kupingwa kwa nguvuMmmmh mnawaonea sana wanaume wa Dar
Imekuwa heri mkuu, maana PM sio diliLooooh!!!...... Nilikuwa namtaka sana Jimena kule PM ila sasa hivi sina furahaa tena kwani sina uhakika tena kama ni ke!!.....this thread had disappointed me very much![emoji17]
Sasa tutawasaidiaje hawa wanaume wa DarVitendo vyao kama hivi ni vya kupingwa kwa nguvu
Nahisi wapelekwe jandoSasa tutawasaidiaje hawa wanaume wa Dar
Broo wee unaheshimika sana humu na jamaa kasema kuna watu na heshima zao humu wamemrushia ndoano!
Ila binafsi sioni cha ajabu, kama alijiweka kama mwanamke lazima atongozwe na midume ya mbegu.
Pole sana, nahisi jina jipya pia lilikuangushaSidhani kama mods watakuacha, tena unaweza ukala BAN kadhaa, moja wa privacy ya watu kuiweka hadharani na pili kwa kuwa na id zaidi ya moja na kukiri kuwa unayo.
Juzi mi nilitoka kifungoni, siku hizi napigwa ban hataree, sijui hawa mods wapya vipi! Nikamiss kuchangia humu nikasema ngoja nifungue id nyingine na maksudi nikaiita @id_nyingine, ila wakagoma kuo-confirm na kuipa go ahead.