My Experience with a Fake Female ID apa JF

Taja wote ila usithubuthu kunitaja aisee.......! Balaaaa lng kubwa kuliko la Jecha!
 
Taja wote ila usithubuthu kunitaja aisee.......! Balaaaa lng kubwa kuliko la Jecha!
 
Fix zina miiko yake
Zikizidi zinaboa.......
 
Vipi, washatajwa hao watu?😀😀
Ni fix tu zile
Nilishazishtukia

K 4 LIFE alitisha kwa fix sasa hivi washamchongea ...thread zake zinatupwa tu Jokes forum
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Miaka 3 hapa jf mtu pekee niliyewahi kumtumia PM ni Lara 1. Nina hakika sipo kwenye list ya Vampire.

Duc in Altum
 
Siku nyingine utatafunwa kweli, mambo ya kujifanya mchuchu wakati dume.
hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahhahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah
 
Niuzie hyo Id sema unataka bei gan[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Ni fix tu zile
Nilishazishtukia

K 4 LIFE alitisha kwa fix sasa hivi washamchongea ...thread zake zinatupwa tu Jokes forum
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Yule jamaa kwa fix hawezekani. Hachelewi kusema kakutana na Lusifa
 
Daaaah,broda ina maana ya huyo jamaa yalikupita?
Sio mbaya,take it from me,ndivyo ilivyokuwa.

Naam,nami nikiwemo
Nikiamua kuchunguza jambo halinishindi aiseee.
Nifa ukipata list na mie nataka huo ubuyu kwa pm lol
 
ha ha ha ha ndio maana sijathubutu kumtongoza mtu hapa JF hii kitu nilishaidhania so...watumbue tujuana kiongozi
 

Ulijisikiaje kutongozwa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…