Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fix zina miiko yakeTeh teh teh....
Ni rahisi sana kuwachota watu humu kwa sensationalism!
Sasa subiri uone...akirudi tena na kutaja mtu au watu bila hata ya ushahidi wa kutosha utaona reaction ya watu.
People are getting excited over nothing.
I had a sneaking suspicion he/she was pulling some leg the moment I saw the thread.
He/she was just bluffing. There's no there there!
But, just to save face, don't be surprised if he/she comes up with a [fake] list of names claiming they were the ones who hit on him.
Fix zina miiko yake
Zikizidi zinaboa.......
Ni fix tu zileVipi, washatajwa hao watu?😀😀
Maandalizi ya kutumbuliwa majipu? Scree shot yangu tasavali usiiweke
Ma-shoga mna style zenu......vampire hunter wa kuhunt zip za wavulana.Umenifananisha na baba yako mkuu....Tumefanana mavazi tu...Maana yeye ni shog.a
hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahhahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahSiku nyingine utatafunwa kweli, mambo ya kujifanya mchuchu wakati dume.
mtupie paka huyu hakufahamu
Ha ha ha ha ha umenifanya nimecheka vibaya, Huyu ni jipu hasa.jamaa katuzibia riziki aisee mda wote pm zipo kimya kumbe wanaume wameenda kwa dume mwenzao
Yule jamaa kwa fix hawezekani. Hachelewi kusema kakutana na LusifaNi fix tu zile
Nilishazishtukia
K 4 LIFE alitisha kwa fix sasa hivi washamchongea ...thread zake zinatupwa tu Jokes forum
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nifa ukipata list na mie nataka huo ubuyu kwa pm lolDaaaah,broda ina maana ya huyo jamaa yalikupita?
Sio mbaya,take it from me,ndivyo ilivyokuwa.
Naam,nami nikiwemo
Nikiamua kuchunguza jambo halinishindi aiseee.
inabidi atumbuliwe aiseeHa ha ha ha ha umenifanya nimecheka vibaya, Huyu ni jipu hasa.
Ndugu Watanzania wenzangu,
Badae nikipata muda nitatoa ushuhuda kuhusu yote niliyoyaona nikiwa na ID ya kike hapa JF...Nitaitaja ID yangu na pia nitawataja wote walionitongoza na walionitumia address na picha zao.
Nitaambatanisha na screenshot kama ushahidi...Dah kuna wengine wanaheshimika sana hapa JF.....
Nitarudi kutumbua majipu....
Yours Faithfully,
Vampire_hunter007