๐ dah ๐คฃAnakuonaa kama matako yake...View attachment 3652728
Huwa sileft huwa nakaa kimya ๐๐ hizo missed call mpaka saa 4 usiku zinapigwa alafu si mmoja wapo kama wanne wameniunga kwa groupLeft fast
kwenye wtsp kuna setting ya kuzuia mtu asiku-add kwa group lolote bila ridhaa yako hii muwe mnaitumia.
Miaka 7 bila hata โ๐โ wala โHelloโ, leo nimejikuta nimeongezwa kwenye group la harusi. ๐๐Habari wakuu.
Huu ni upuuzi umezidi yaani tuna miaka 7 plus hatujawahi hata kuwasiliana ,then mtu anakuunga kwa group la whatsup la harusi yake ,nini hiki ,alafu akuuliza unaahidi shilingi ngapi kila baada ya siku simu kibao ,so mkiwa na shida ndo mnakumbuka watu huu ni ujinga tena ujinga kiwango cha lami ,mie sikwepeshi nimemtoa mtu nishai Leo nonsense.
aaaaaAnakuonaa kama matako yake...View attachment 3652728
Kwani unatakiwa kuchangia kiasi gani hadi unatoa milio yote hiyo?Habari wakuu.
Huu ni upuuzi umezidi yaani tuna miaka 7 plus hatujawahi hata kuwasiliana ,then mtu anakuunga kwa group la whatsup la harusi yake ,nini hiki ,alafu akuuliza unaahidi shilingi ngapi kila baada ya siku simu kibao ,so mkiwa na shida ndo mnakumbuka watu huu ni ujinga tena ujinga kiwango cha lami ,mie sikwepeshi nimemtoa mtu nishai Leo nonsense.
Hao ni watu wa advanced level back in the dayMiaka 7 bila hata โ๐โ wala โHelloโ, leo nimejikuta nimeongezwa kwenye group la harusi. ๐๐
My friend, tulikuwa marafiki au nilikuwa namba ya simu ya emergency? ๐ญ
#NONSENSE
Habari wakuu.Habari wakuu.
Huu ni upuuzi umezidi yaani tuna miaka 7 plus hatujawahi hata kuwasiliana ,then mtu anakuunga kwa group la whatsup la harusi yake ,nini hiki ,alafu akuuliza unaahidi shilingi ngapi kila baada ya siku simu kibao ,so mkiwa na shida ndo mnakumbuka watu huu ni ujinga tena ujinga kiwango cha lami ,mie sikwepeshi nimemtoa mtu nishai Leo nonsense.
RepostingHabari wakuu.
Huu ni upuuzi umezidi sasa. Yaani tuna miaka 7+ hatujawahi hata kuwasiliana, hata salamu hakuna, halafu leo ghafla unaniona muhimu kiasi cha kuniongeza kwenye WhatsApp group la harusi yako. ๐
Halafu baada ya hapo simu na message kibao: โUnaahidi shilingi ngapi?โ ๐
Kumbe mkiwa na shida ndiyo mnakumbuka watu? Miaka yote hiyo ulikuwa wapi?
Mimi sikweshi mtu wala sina shida na harusi yake, lakini sipendi mahusiano ya msimu. Kama hatujawasiliana miaka 7, usinijengee ukaribu siku ya kuhitaji mchango wangu.
Leo nimemtoa mtu. Si chuki, ni mipaka tu.
NONSENSE.
Mbona hiyo ni kawaida sana mkuu,So ukiwa na shida ndo unacheki mtu au siyo