Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
This is madnessNgoja tukamsikilize nayeye kwa upande wake
View attachment 3652726
This is madnessNgoja tukamsikilize nayeye kwa upande wake
View attachment 3652726
upo sahih kiongozi watu ni mtaji ambao hauwezi kupoteaKatika kitu mimi najitahidi ni kukumbuka watu kwa kuwapigia simu sio text aiseee maisha ni watu
What are you baking?Baking na moyo wako nami na wangu #sensiful
Safi kabsa, kila MTU afie mbele na lake🥶🥶Left fast
kwenye wtsp kuna setting ya kuzuia mtu asiku-add kwa group lolote bila ridhaa yako hii muwe mnaitumia.
Kweli... mkuu!upo sahih kiongozi watu ni mtaji ambao hauwezi kupotea
Aleyo nkengwa duh¡Nimecheka sana mpaka nimepata mafua
ndo maana niliacha kutumia whatsap kwa mambo binafsiKuna wengine wanawajukuu unashangaa umeungwa kwa group wanataka mchango wafunge ndoa.
Hapa niko kwa magroup zaidi ya nane yote wanataka nichangie ndani ya miezi miwili.
ulipotelea wapi mpaka nikadhani upo fungateKweli... mkuu!