Habari wakuu.
Huu ni upuuzi umezidi yaani tuna miaka 7 plus hatujawahi hata kuwasiliana ,then mtu anakuunga kwa group la whatsup la harusi yake ,
Nini hiki ,alafu akuuliza unaahidi shilingi ngapi kila baada ya siku simu kibao ,so mkiwa na shida ndo mnakumbuka watu huu ni ujinga tena ujinga kiwango cha lami ,mie sikwepeshi nimemtoa mtu nishai Leo nonsense.
Ushauri mzuri napokea mkuu❤Kutopeana salamu sio kigezo cha wewe kutoungwa kwenye group la michango
Nilichojifunza maisha hayana formula, mtu/watu ambao huna mazoea nao ni moja ya wasaidizi wakubwa linapotokea jambo
Kama JF tu hatujuani lakini unaweza kuweka tatizo lako na watu usiojuana nao wakakusupport kama wanakujua....itakuwa hao ambao mnafahamiana lakini hamuwasiliani?
Niulize mimi
Nina ushuhuda
By the way si una option ya kujitoa?
Ubarikiwe mnooKutopeana salamu sio kigezo cha wewe kutoungwa kwenye group la michango
Nilichojifunza maisha hayana formula, mtu/watu ambao huna mazoea nao ni moja ya wasaidizi wakubwa linapotokea jambo
Kama JF tu hatujuani lakini unaweza kuweka tatizo lako na watu usiojuana nao wakakusupport kama wanakujua....itakuwa hao ambao mnafahamiana lakini huwa hamuwasiliani?
Niulize mimi
Nina ushuhuda
By the way si una option ya kujitoa?
Ni sahihi ila kwako sio sahihi...Je sahihi kufanya hivyo
Ulituma tena au ulivunga baada ya 'no response'Yes I did but no response
Duh... Mkuu acha tu yani tangu tarh 8 nilikuwa najaribu kuingia nambiwa just a moment...ulipotelea wapi mpaka nikadhani upo fungate
Leave the group and block his numberHabari wakuu.
Huu ni upuuzi umezidi yaani tuna miaka 7 plus hatujawahi hata kuwasiliana ,then mtu anakuunga kwa group la whatsup la harusi yake ,
Nini hiki ,alafu akuuliza unaahidi shilingi ngapi kila baada ya siku simu kibao ,so mkiwa na shida ndo mnakumbuka watu huu ni ujinga tena ujinga kiwango cha lami ,mie sikwepeshi nimemtoa mtu nishai Leo nonsense.
Wamatumbi wa wapi hawa?Ngoja tukamsikilize nayeye kwa upande wake
View attachment 3652726
Ni sawa, Ishu zingine sio kesi ni kusema tu "HONGERA, HAPANA SITACHANGA, KILA LA HERI"Habari wakuu.