My friend 7 years without 👋 or even hello ,then unaniunga kwa group la harusi

My friend 7 years without 👋 or even hello ,then unaniunga kwa group la harusi

Siyo rahisi kusema hivyo ujue
Ni saikolojia tu mkuu ya kutunza status inakuchezea ubongo.

Embu jiulize mtu ambaye hamjaonana miaka 7, hajui hali yako, bajeti zako, inashindikana vipi kumpa hongera na kumwambia haupo kwenye nafasi ya kutoa mchango? Mbona huko barabarani ombaomba anakuomba ela ndogo tu usipompa hujali?
 
Ni saikolojia tu mkuu ya kutunza status inakuchezea.

Embu jiulize mtu ambaye hamjaonana miaka 7, hajui hali yako, bajeti zako, inashindikana vipi kumpa hongera na kumwambia haupo kwenye nafasi ya kutoa mchango? Mbona huko barabarani ombaomba anakuomba ela ndogo tu usipompa
Let me try 😌
 
Habari wakuu.
Huu ni upuuzi umezidi yaani tuna miaka 7 plus hatujawahi hata kuwasiliana ,then mtu anakuunga kwa group la whatsup la harusi yake ,

Nini hiki ,alafu akuuliza unaahidi shilingi ngapi kila baada ya siku simu kibao ,so mkiwa na shida ndo mnakumbuka watu huu ni ujinga tena ujinga kiwango cha lami ,mie sikwepeshi nimemtoa mtu nishai Leo nonsense.
Halafu ukishachangia ndo ziii- 7 yrs zitapita
 
Kutopeana salamu sio kigezo cha wewe kutoungwa kwenye group la michango

Nilichojifunza maisha hayana formula, mtu/watu ambao huna mazoea nao ni moja ya wasaidizi wakubwa linapotokea jambo

Kama JF tu hatujuani lakini unaweza kuweka tatizo lako na watu usiojuana nao wakakusupport kama wanakujua....itakuwa hao ambao mnafahamiana lakini huwa hamuwasiliani?

Niulize mimi
Nina ushuhuda

By the way si una option ya kujitoa?
habari yako binti yangu
 
Back
Top Bottom