My friend 7 years without πŸ‘‹ or even hello ,then unaniunga kwa group la harusi


Kutopeana salamu sio kigezo cha wewe kutoungwa kwenye group la michango

Nilichojifunza maisha hayana formula, mtu/watu ambao huna mazoea nao ni moja ya wasaidizi wakubwa linapotokea jambo

Kama JF tu hatujuani lakini unaweza kuweka tatizo lako na watu usiojuana nao wakakusupport kama wanakujua....itakuwa hao ambao mnafahamiana lakini huwa hamuwasiliani?

Niulize mimi
Nina ushuhuda

By the way si una option ya kujitoa?
 
Ushauri mzuri napokea mkuu❀
 
Ubarikiwe mnoo
 
Leave the group and block his number

Hakuna rafiki hapo
 
Huko duniani kuna ndoa wameshiriki watu 7 tu, ni vizuri watu kuiga; mke/mume ni wa kwako tu, sisi wachangiaji tutakula kwa macho tu.
 
Ni sawa, Ishu zingine sio kesi ni kusema tu "HONGERA, HAPANA SITACHANGA, KILA LA HERI"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…