100% right,wema kwenye uzuri hayupo sema tu ana umaarufu na kaumbika baadhi ya sehemu but uzuri haswaa w viwango ni idara zote husikq sio nusenusu,nimewakubali wote kasoro huyo halagu ukimtoa wema hapo angewekwa Irene Uwoya,bila kuweka mapungufu yake,ni mzuri yule binti.halafu zamani kulikua na yule demu Irene Ngowi yuko wapi?alikua mzuri sijui kajichimbia wapi na list uangu ya mwisho ni yulemiss universe wa Arusha mwaka juzi nafikiri anakata nywele amabaye yuko marekani jina limenitoka mzuri kweli,sio yule somebody dominic.nikumbusheni jina basi.