Mkuu uzuri aka mvuto kwa maana ya beautiful kwa kimombo unamaanisha muonekano wa nje, Hii ina jumlisha sura, umbo pamoja na viungo vyako vya mwili..........hapa ndio utapata Mzuri wenye mvuto ingawa kibinaadamu hakunaga mtu mbaya
Mkuu nafiki hapo kwenye red ndipo unapochanganya mambo.
Unataka kulinganisha uzuri na mvuto aka beauty and attraction.
Attraction ni zaidi ya sexuality au sensuality.
Kwa hiyo, unapolinganisha uzuri na mvuto una limit maana nzima ya attraction.
Kuna wanawake ambao siyo wazuri lakini, are very attractive in deed.
Pia kuna wanawake wako very beautiful but they are not attractive.
Sina maana kuwa all beautiful women are not attractive. Some are, but not all.
Kila mwanamke ni mzuri, lakini baadhi wanaweza kuwa wazuri zaidi ya wengine. Mvuto una maana ya uwezo wa ku-attract.
Wanasemna kuwa uzuri siyo kigezo cha kutengeneza mahusiano ya kudumu. Kujenga uhusiano wa kudumu, wapendanao lazima wawe attracted to each other.
Nikuulize swali: ungependa kwenda mahali ambapo unashangiliwa au mahali ambapo unavumiliwa?