Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,928
Huyu Mange Kimambi alikuwa Celebrity wa kitu gani? Dah, kweli jina celebrity sijui maana yake ni nini labda!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani hiyo miguu, mmhhh!!!! Tiba
mkuu umenifurahisha ni kama dada mmoja namfahamu anafungaga, siku akanikuta nakunywa soda, akaniomba offa, nikamnunulia nikajua mwenzangu leo amepumzika na funga. akaanza kunywa ile soda ilipofika nusu, akahamaki na kustuka kusema "ayaaa kumbe nimefunga" !
Jee, umeshafanya kazi kwa wahindi?
Nashangaa sana mnaposema mazingira magumu, wakati hii nchi ni yenu na kuna kila fursa za kujifanyia kazi mwenyewe kama hutaki kuajiriwa. Leo hii ukiwa na msingi wa Shillingi laki moja tu unaweza kufanya kazi yenye kukupatia faida ya kukulisha na kukuvisha kuliko mshahara wa kima cha chini na cha kati. Umeshayafikiria hayo? au ni bongolala na hujuwi 50,000/= zitakuzalishia vipi. Kama hujui niambie nikupe darsa la uwekezaji mdogo mdogo.
Leo hii, kuna watu wananyanyaswa na Waafrik wenzao na tunayaona kwenye magazeti kila siku.
Hao mnaosema Wahindi mkumbuke kuwa wengi wao ni Watanzania na wana Uzalendo kuliko nyinyi wabaguzi wa rangi.
Niambie leo Hii, Mohamed Dewji wa METL ameajiri directly na indirectly watu wangapi?
Niambie leo Hii, Manji wa Quality group ameajiri directly na indirectly watu wangapi?
Niambie leo Hii, Jeetu Patel na makampuni yake, ameajiri directly na indirectly watu wangapi?
Niambie leo Hii, GAPCO (inamilikiwa na Watanzania wenye asili ya kihindi) wameajiri directly na indirectly watu wangapi?
Hao ni wachache tu nnaoweza kuwataja ghafla ghafla. Hivi mnataka kusema nini? kushindwa kwenu wanapoweza wenzenu ndio muwachukie?
Kama huyo mtoto Miss Tanzani, babu yake, mama yake wote wazaliwa wa Tanga alikuyanyasa nini> mtoto anekaa Kariakoo toka kuzaliwa, kukuwa kwake. Mwenyeezi Mungu kamjaalia uzuri usio na mfano, leo eti eeh Mhindi. Hup Uhindi mlipa nyinyi?
Mbona nyinyi kutwa kucha mnajitia mikorogo na kubandika nywele za maiti kuutaka huo uhindi msiokuwa nao?
Huyu hapa na mama yake, na uzuri wake si wa makopo wala wa bahati mbaya ni wa asili, tazama mama'ke alivyo mzuri, MashaAllah:
Mnaacha mambo ya maana oohh eti wahindi "wabaguzi" wakati ubaguzi na roho mbaya ndio zimewakaa mioyoni mwenu.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
mkuu pesa mwana haramu bana
huwezi amini eti huyu diva wa urembo anamuitaga mzee mengi handisamu
ukiondoa mke wangu, anafuatia huyu kwa uzuri tanzania.
sikatai juu ya uwekezaji mdogo, ila wangapi wana elimu hiyo? system yenyewe ya elimu haijawapa watu guts za kuthink outside the box au kujiajiri, kuna watu hawana hata hiyo 100,000 wengine hawawezi hata kusave hiyo 50,000 let alone kukopa/hawakopesheki.
kuna makampuni kama A to Z au Kilitex, hizi trishall na kama hizo zimeajiri watu maelfu lkn hiyo treatment yake dah.... usiombe!
Sipingi kua wanacreate ajira ila manyanyaso yao ni ballaa, hao kina Dewji na wengineo ni ma CEO, founders n big investors n usually hawana hata direct contact na their workers.
Dear one day u shud take a walk n see for urself! mashirika kama hayo niliyotaja, wafanyakazi ni duni wanakandamizwa na wako desparate na kufukuzwa kwao ni rahisi sana, na hutishiwa kufukuzwa endapo mtu atafanya such a move, na kumake matters worse unakuta kuna vibaraka ambao wanalipwa extra, kwa hiyo hata wakijiorganize kufanya move au kushtaki after 2 hrs or so aliyeanzisha anafukuzwa kazi, na pia hata wenye nafasi ya kuwasaidia e.g viongozi wanhongeka mnooo...Hayo ni maneno yako, kama kuna watu wanateswa kila siku mbona hatuwaoni wanaharakati wa kutetea haki za bonaadam wakaenda huko na kupigia makelel hizo hali? tunawaona eti wanamshtaki Pinda kwa kusema polise iwatandike wanaoleta fujo.
Tatizo kubwa Watanzania kujituma ni mwiko, unaambiwa fanya biashara ndogo unasema sina msingi, unaambiwa kalime, unasema sina msingi, fanya kazi upate huo msingi, unasema wahindi wanakunyanyasa, hivi huoni kuwa hivyo ni visababu vya kijinga kijinga?
Mimi siamini kama unyenyeswaji wa makazini unawahusu wahindi pekee. Kuna kesi chungu nzima humu zinaonesha wanainyanyaswa zaidi makazini ni wanawake kwa umbo au maumbo yao waliojaaliwa na mwenyeezi mungu. Ni nani anakemea hilo? Jee, ni wahindi wanaowanyanyasa kijinsia? Fikiri.
Fikiri.
Dear one day u shud take a walk n see for urself! mashirika kama hayo niliyotaja, wafanyakazi ni duni wanakandamizwa na wako desparate na kufukuzwa kwao ni rahisi sana, na hutishiwa kufukuzwa endapo mtu atafanya such a move, na kumake matters worse unakuta kuna vibaraka ambao wanalipwa extra, kwa hiyo hata wakijiorganize kufanya move au kushtaki after 2 hrs or so aliyeanzisha anafukuzwa kazi, na pia hata wenye nafasi ya kuwasaidia e.g viongozi wanhongeka mnooo...
Kwa habari ya kujiyuma na kujiajiri kwa watanzania, lbd system za kielem zibadilishwe na kufanyike capacity building za maana, follow ups n.k
Huyu Mange Kimambi alikuwa Celebrity wa kitu gani? Dah, kweli jina celebrity sijui maana yake ni nini labda!!!!
Uongo mtupu. Tanzania makampuni yana sheria zake na wafanya kazi wana sheria zao. Nnakuhakikishishia wengi kati ya makampuni wanayofata sheria na taratibu za kikazi ni hawa mnaowaita Wahindi, hawa watu hawataki kabisa matatizo kweny kazi zao, kuna sheria, na wanafata sheria na kanuni za kazi duniani ILO.
Nakuuliza hivi, hao wanaharakati wanaotetea haki za binaadam wako wapi? Mbona hatuwaoni wakienda kuwatetea hao unaosema wewe?
Tatizo nyinyi ni wavivu wa kufikiri. Wahindi ni wachapa kazi na wanafata sheria. Ukienda na kutaka vi-livu vya kijinga anakwambia "hakuna bana" na kweli ujuwe kwenye sheria hiyo hakuna.
Nyie mmezowea kuingia kazini saa 2 ikifika saa 3 kila mtu anataka atoke akanywe chai. Kwa muhindi hakuna ujinga huo, anakwambia "kula chai jumbani kwako, kama nakuja kajini wewe mmeshiba, kama haweji kaa kajini kwenda tafuta kaji nyingine". Sasa hapo umenyanyaswa umeambiwa kweli?
Sijui uamuwe tu kulala nyumbani na ma "hang-over" upige simu "mie naumwa" siku ya pili ukienda uende na cheti cha daktari tena cha hospitali na daktari wanaemtabuwa kama hukufanya hivyo imekula kwako, ukirudia kazi huna. Sasa hapo utasema umenyanyaswa?
nina plan one of these days nifanye kutengeneza documentary ambayo itareveal such things may be ull understand, naujue mimi siongelei wafanyakazi wa wahindi kama wahasibu n like, naongelea hawa wa lower levels ambao kwenye viwanda kama hivyo ndo wako wengi!
Nimefanya research ndo maana ninasema ninachosema tena si ya interview tu bali na ya kuobserve pia, ninajua ninachosema!Nakwambi utabadili kila jina cheo cha wafanyakazi na utarudi kuuona ukweli, faya risachi kabla hujafanya hiyo dokyumentari yako. Utazame hao unaowaita Wahindi na wasio Wahindi wanavyo treat wafanya kazi wao halafu ndio uifanye hiyo dokyumentari. Maana ukiifanya sasa inaonesha tayari uko bayasd.
Nyie ndio wale Mzee zomba anawaita "wabaguzi wa ujinga".
Nimefanya research ndo maana ninasema ninachosema tena si ya interview tu bali na ya kuobserve pia, ninajua ninachosema!
Jee, umeshafanya kazi kwa wahindi?
Nashangaa sana mnaposema mazingira magumu, wakati hii nchi ni yenu na kuna kila fursa za kujifanyia kazi mwenyewe kama hutaki kuajiriwa. Leo hii ukiwa na msingi wa Shillingi laki moja tu unaweza kufanya kazi yenye kukupatia faida ya kukulisha na kukuvisha kuliko mshahara wa kima cha chini na cha kati. Umeshayafikiria hayo? au ni bongolala na hujuwi 50,000/= zitakuzalishia vipi. Kama hujui niambie nikupe darsa la uwekezaji mdogo mdogo.
Hapo bold panahusu sana
Ufahamu na nia ya kuwekeza ni ndogo sana, hili nalo ni tatizo
Unakuta mtu ana elimu labda masters, na analipwa 1m ambayo haitoshi kwa maisha ya staus anayotaka
Ukimwambia fuga hata kuku au anzisha kibanda cha chips kuongeza kipato anasema si hadhi yake.
Afu hapo hapo analalamika mshahara mdogo, na hafikirii kujiongezea kipato kulingana na mtaji anaoumudu.