My partner loves women with big nyash, what should I do?

Hapo anakuwa amenidharau mimi, kwanini aangalie wengine wakati yupo na mimi
Sasa Binti sayuni ,maisha hayapo hivyo hata uwe mpenzi wa wali,huwezi kula kila siku,lazima utabadilisha mlo, in fact,ukila mlo ule ule kila siku,unaongeza risk za magonjwa.kabla sijatoa ushauri wangu naomba uweke sample ya iyo nyashi hapa pamoja na wewe mwenyewe ili tufanye uchambuzi yakinifu
 
Akhuuu mnataka kunicheka naona
 
Men get easily distracted by women, they will 'stare' at big hips, big breast big nyash...but to save videos of women with big nyash twerking..is a sign of disrespect, it seems he is more into thick ladies, if you don't have big nyash my dear its time to start considering your options...
 
Sasa unanishaurije jamani

watu sikuhizi naisikia wanakwenda uturuki kuboresha mambo, ila ni suala linalotaka gharama.

suluhisho la pili ni kukubali matokeo tu mana utaumia mpaka lini? na hata ukitafuta mwengine nae atakakua ndio hayo hayo.
 
Kama bado unaweza kuandika Kiingereza, basi tatizo ni dogo sana.
 
Kuna watu kama 40 huduma zimeanza saa sita na sasa ni saa nane na nusu wamehudumiwa watu wasiozidi 6...hii nchi hii......hawa waendelee kuchonga hips tu mengine hawayawezi
Poleni sana yaani sisi watanzania wavivu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…