kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
-
- #161
Ngoja nimuache aenjoy akichoka ataacha๐โโ๏ธ๐๐Hiyo haina cha mbele ya nani tamaa ikishakukumba mkuu, unashitukia tu shingo kunju, imekunjika yenyewe bila hata mwenyewe kujua.
Dah! Sheikh hata dhambi ya uongo kabisa๐๐๐
Hapo ukawa unawaza ungekuwa mwenyewe ungerusha ndoano๐๐๐Tatizo huwa mnajihisi tu.
Siku moja nikiwa na maiwaifu wangu maeneo fulan, mbele yetu kumbe kuna kifaa kimemzidi kwa mbali kidogo km km 5 hivi kwa nyuma. Mimi wala sijaona nashangaa ananiambia... UNAANGALIA NINI HUKO, NYIE WANAUME MKOJE?
Mimi nashangaa ndio ikabidi nianze kuangaza nikauona mzigo, tena mzigo kweli unafaa na una sifa zote unaelekea tunakoenda. Ilibidi nnicheke tu. Maana yeye ndiye kanionesha mimi nolikuwa sijaona
๐๐๐๐dah! Mimi siko hivyo mkuuIla kama upo hivi ni halali kuachwaView attachment 3322850
How?Enlarge ya' ass
Tunaweza kuiweka hivyo inafikia hatua nashindwa kukadria ni size ipi ya nyashi naikubali zaidi.Kwahiyo umekariri matak yao tu duh! Wewe kiboko๐๐๐๐
Ila wanaume mtafika motoni mmechoka sana๐๐๐๐Tunaweza kuiweka hivyo inafikia hatua nashindwa kukadria ni size ipi ya nyashi naikubali zaidi.
Lazima uwe mkweli kwa nafsi yakoDah! Sheikh hata dhambi ya uongo kabisa๐๐๐
Wala sikuwahi kufikiria hilo mpaka leo.Hapo ukawa unawaza ungekuwa mwenyewe ungerusha ndoano๐๐๐
Kuna wanaume huwa hawajali kabisa kwa siku unakuta anachukua namba za wanawake hata 10Wala sikuwahi kufikiria hilo mpaka leo.
Utataka kurusha kwa wangapi? Mikalio mikubwa ni mingi mno.๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐
Kabisa yaaniLazima uwe mkweli kwa nafsi yako
Sina hela ya kwenda mloganzila
Kakujibu?Ulisema hutaki tena mahusiano,imekuaje tena cute?
Jirani hii biadmshara umeanza lin si umuuzie mange maana kuna muda anatingisha hata visivyotingishika. Kuchosha tu mifupa aje awape shida madaktari wa mifupa huko uzeeni.Njoo nikuuzie dawa ya kupaka uwe na nyash na hips ๐น
Kwa kiswahili umesemaje matrako au?There are times when we go out, and when we pass by a woman with big hips, I see him turning his head to look at her, and this situation really irritates me.
Sometimes when I check his phone, I find he has saved videos of women with big hips twerking. Can we really go far like this? Iโm just an ordinary woman, I donโt have those big nyash๐ซ๐ซ๐ข
Hahaha.............. ukifanya hivyo, Babu yako nitakupa lazi ujue ๐Usimsikilize huyo ni kweli hayo niliyoyasema kabisa, japo nimesahau ulinishauri nini hadi nirudi kwenye comment yako๐โโ๏ธ๐๐
Hahaha.........Unajua Wazee wengi tuliishia darasa la nne la Mkoloni, Wanasema Elimu haina mwisho, ngoja nirudi tena darasani ๐คsasa babu mwenyew hajui kuandika hata neno radhi kwann usisumbuliwe?