My playlist: Taja nyimbo ambazo siku haiwezi kuisha bila kuzisikiliza.

I'm sure umechanganyA nyimbo
Ww labda umechanganya madesa.. Hii nyimbo nnayo kabisa, kama vp ingia gugo ujifanye unataka kudanlodi nyimbo ya Motherland pasipo kuandika msanii alieimba, uone itakavyoleta
 
Une minute...
He is able...
Deliberation..
Oxgeneny..
 
Humu upo pia?.

Binafsi napenda kusikiliza Mashairi ya Mrisho Mpoto.Kama siyo Sizonje basi Adela,Kama siyo Samahani wanangu basi Deni la Hisani,Kama siyo Ahsanteni kwa kuja basi Chocheeni kuni.

Huyu ndiye MSANII pekee nchini (Nb;Siyo nchi za nje).Hawa wengine wanatuuza utumwani tu na wanachoshindwa kuelewa ni kuwa Sanaa ni Mirindimo na siyo kingine.

Kwa Mfano Alfa Blondy anavyoimba nyimbo zake,huwa hatumii kizungu lakini ukimsikiliza tu unajua huu muziki ni wa Raggae (Jamaica).

Napenda tuifahamu SANAA maana yake nini.Siyo kuimba tu na kuvaa,Kunyoa,Kuishi ki-magharibi.
 
Hahaaaa mkuu unajua kutoa promo wallah
Mm sinaga hata nyimbo zake huyo kitumbo
 
JAMVI LA WAGENI BY STAMINA FT RICH MAVOKO
 
Hahaaaa mkuu unajua kutoa promo wallah
Mm sinaga hata nyimbo zake huyo kitumbo
Si wote wanaoipenda sanaa anayoifanya "Kughani" kwakuwa wengi wetu hatupendi Kushughulisha Bongo zetu,Ukianza kumsikiliza lazima Uwe na chai pamoja na mkate pembeni.La sivyo utasikia njaa.

Mtafute umsikilize.Anajua maana ya SANAA.
 
KIUKWELI MM NYIMBO ZA BONGO haziingii kichwani kabisa labda kwaya.
Mm hapa NIGERIA>> SOUTH AFRICA>>> USA.
 
Sio jina langu hilo bro.
Unajua mad over you umefika mbali kuliko huo wa pato.
Usiogope mkuu nimekuita Raymond kwa sababu ya hiyo wa kwenye avatar yako ni sawa na wewe ungeniita floyd mayweather

Namkubali sana runtown tangu enzi zile za Garaldo lakini kwa huu wimbo aisee ni big no.
 
Usiogope mkuu nimekuita Raymond kwa sababu ya hiyo ya kwenye avatar yako ni sawa na wewe ungeniita floyd mayweather

Namkubali sana runtown tangu enzi zile za Garaldo lakini kwa huu wimbo aisee ni big no.
Kwenye Red.
Umedanganya mkuu mbona umetaja jina kisha ukaandika AkA Mondray, inamaana huyo kwenye avatar anatumia hii AkA.

Garaldo siikubali na sijawahi hata kuisikiliza.
 
Anhaa usiogope mkuu

Kwenye avatar si ni Raymond huyo ndio maana nikakuita hivyo

Lakini username yako si Mondray ndio maana nikaandika Raymond a .k.a mondray

Ni sawa na wewe ungeandika Mayweather a.k.a Hance Mtanashati
 
Hahaaa mm siogopi kitu Hance its my name.
Naona unapindisha sana jooh.
Sina mpango wa kufanya uharifu so siogopi ndio maana jina lipo wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…