Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
I'm sure umechanganyA nyimboHii nyimbo kaimba Miriam Makeba akimshirikisha Yvonne Chakachaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I'm sure umechanganyA nyimboHii nyimbo kaimba Miriam Makeba akimshirikisha Yvonne Chakachaka
Ww labda umechanganya madesa.. Hii nyimbo nnayo kabisa, kama vp ingia gugo ujifanye unataka kudanlodi nyimbo ya Motherland pasipo kuandika msanii alieimba, uone itakavyoletaI'm sure umechanganyA nyimbo
Humu upo pia?.Weka listi yako ya nyimbo ambazo siku haiwezi kuisha bila kuzisikiliza.
Mimi playlist yangu ni hii..
>> Mr Eazi -Hollup
>> Mr Eazi -Sample you
>> Dj spinal ft Mr Eazi -Ohema
>>Designer -Panda.
>>Meek miil ft Big sean & Asap ferg -Bboy
>>Kwesta ft Cassper Nyovest -Ngud'
>>Rich Gang ft Young thug- lifestyle
>>Iyaz Breath
>>Dr Sid ft Korede Bello-Flawles
>>Diamond platinum ft neyo -Marry you.
>>Major league Djz ft Cassper Nyovest -Zulu girl
>>Falz -Soft work
>>Gentries ft Young D &Bele 9 -Chapaa
>>K.o ft Magz &MaE -One time.
>>Keishia Cole -Sent from heaven.
>> Dah pressure -Nivumilie.
Hizo ndio ngoma zangu ambazo kama sikuzisikiliza siku inaisha vibaya na lazima nizisikilize.
Weka zako na wewe
☆☆☆☆Mondraymondray☆☆☆☆
Hahaaaa mkuu unajua kutoa promo wallahHumu upo pia?.
Binafsi napenda kusikiliza Mashairi ya Mrisho Mpoto.Kama siyo Sizonje basi Adela,Kama siyo Samahani wanangu basi Deni la Hisani,Kama siyo Ahsanteni kwa kuja basi Chocheeni kuni.
Huyu ndiye MSANII pekee nchini (Nb;Siyo nchi za nje).Hawa wengine wanatuuza utumwani tu na wanachoshindwa kuelewa ni kuwa Sanaa ni Mirindimo na siyo kingine.
Kwa Mfano Alfa Blondy anavyoimba nyimbo zake,huwa hatumii kizungu lakini ukimsikiliza tu unajua huu muziki ni wa Raggae (Jamaica).
Napenda tuifahamu SANAA maana yake nini.Siyo kuimba tu na kuvaa,Kunyoa,Kuishi ki-magharibi.
Si wote wanaoipenda sanaa anayoifanya "Kughani" kwakuwa wengi wetu hatupendi Kushughulisha Bongo zetu,Ukianza kumsikiliza lazima Uwe na chai pamoja na mkate pembeni.La sivyo utasikia njaa.Hahaaaa mkuu unajua kutoa promo wallah
Mm sinaga hata nyimbo zake huyo kitumbo
KIUKWELI MM NYIMBO ZA BONGO haziingii kichwani kabisa labda kwaya.Si wote wanaoipenda sanaa anayoifanya "Kughani" kwakuwa wengi wetu hatupendi Kushughulisha Bongo zetu,Ukianza kumsikiliza lazima Uwe na chai pamoja na mkate pembeni.La sivyo utasikia njaa.
Mtafute umsikilize.Anajua maana ya SANAA.
Mr Raymond a.k.a mond ray huo ni mtazamo wako ila huo mad over you aisee daah umenikalia kushoto kweliSomehow tu naikubari..ila inashindwa na Mad over you.
Ccm mbele kwa mbele-capt komba
Usiogope mkuu nimekuita Raymond kwa sababu ya hiyo wa kwenye avatar yako ni sawa na wewe ungeniita floyd mayweatherSio jina langu hilo bro.
Unajua mad over you umefika mbali kuliko huo wa pato.
Kwenye Red.Usiogope mkuu nimekuita Raymond kwa sababu ya hiyo ya kwenye avatar yako ni sawa na wewe ungeniita floyd mayweather
Namkubali sana runtown tangu enzi zile za Garaldo lakini kwa huu wimbo aisee ni big no.
Banger je mkuu ?Kwenye Red.
Umedanganya mkuu mbona umetaja jina kisha ukaandika AkA Mondray, inamaana huyo kwenye avatar anatumia hii AkA.
Garaldo siikubali na sijawahi hata kuisikiliza.
Hahaaa mm siogopi kitu Hance its my name.Anhaa usiogope mkuu
Kwenye avatar si ni Raymond huyo ndio maana nikakuita hivyo
Lakini username yako si Mondray ndio maana nikaandika Raymond a .k.a mondray
Ni sawa na wewe ungeandika Mayweather a.k.a Hance Mtanashati