My Prediction: Iran's Islamic Republic ikifanikiwa kuwa Nuclear Power House, Next Stop will be Mecca

My Prediction: Iran's Islamic Republic ikifanikiwa kuwa Nuclear Power House, Next Stop will be Mecca

Tatizo lako wewe unafikiria Makkah haiwezi kuvamiwa hata ikivamiwa hakuna kitakacho dhuru sababu ni Mungu ndio anapalinda. Haya hao walio vamia walifanya madhara gani.
Walikuja tolewa na makomando makafiri wa ufaransa
 
Kaaba inalindwa na mungu.
Kitu kibaya chochote hakiwez kutokea kaaba.
Ila kitu chochote kibaya kikitokea kaaba ni mungu anawapima waislamu.

This is called circular reasoning, it doesn't make sense at all, ni kawaida yenu kuwa na apologetic excuses kama hizi, sishangai!
Huoni huo ni uhuni Yani mmeaminishwa kitu chochote hakiwezi kuipa Kaaba lakini kwakuwa fanani anajua alichondika ni uongo kaamua kujitetea kuwa kama kitu chochote kitatokea na anajua kabisa uwezekano wa kutokea upo anasema Allah atakuwa anawapima SI uhuni na utapeli huo
 
Kuna mataifa ni maovu.

Namba moja ni Iran.

Sasa, wanajaribu kutengeneza umoja wa uovu, na waovu wenzie Urusi, China na North Korea.

Haya mataifa yakifanikiwa kuungana, kuyazidi nguvu mataifa mema, (ya magharibi), dunia haitakuwa sehemu salama ya kuishi.

Labda kwa kifupi sana nikupe tafasri ya UOVU.

Uovu ni udikteta.

Udikteta ni hali ya kutaka watu wote waishi kama unavyotaka wewe.

Mfano mzuri ni Iran, inalazimisha watu wote wawe waislamu, kitu ambacho ni kinyume hata na maagizo ya Mungu, Mungu hajalazimisha watu wote kufuata maagizo yake.

Ndiyo maana akatengeneza destinations mbili, wanaofuata maagizo waende destination moja, wasiofuata waende nyingine.

Iran, anadanganya dunia kuwa ni taifa la kidini, anaungana na wakomunisti, Urusi China na Korea wasiotambua Mungu, ndio marafiki zake.

Huyu ni muovu, aliyejivika udini ili kutimiza uovu wake.

Sasa waovu wameamua kuungana ili kutengeneza Axis of evil, (mhimili wa uovu).

Yetu ni macho na masikio, tuone kama watafanikiwa.
Huujui uovo wa magharibi wewe kaa kimya
 
Dalili za Nini?
Kama French special forces walitumika pale Makkah, navyo fahamu ni Saud Arabia ndio waliwatoa. Wataingia vipi pale Makkah labda wawe Waislam na wakiwa Waislam basi mnajikanyaga mlisema ni makafiri ndio walio wasaidia Saud Arabia.
 
Walikuja tolewa na makomando makafiri wa ufaransa
Kafiri hawezi ingia Makkah, wacheni ujinga kama hao French special forces waliwasaidia jeshi la Saud Arabia ni lazima wachaguliwe wale Waislam. Kafiri hawezi gusa seheme takatifu, kawauliza vizuri wafaransa labda walisilimishwa kuingia pale, ni no way mtu kama wewe kafiri kugusa sehemu takatifu.
 
Kafiri hawezi ingia Makkah, wacheni ujinga kama hao French special forces waliwasaidia jeshi la Saud Arabia ni lazima wachaguliwe wale Waislam. Kafiri hawezi gusa seheme takatifu, kawauliza vizuri wafaransa labda walisilimishwa kuingia pale, ni no way mtu kama wewe kafiri kugusa sehemu takatifu.
Kafiri ansingie Makkah wakati ndo anayeilinda Saudia na Makkah ikiwa ndani yake?
 
Kuna Mtu mahala kawadanganya sana.
FB_IMG_1730471687954.jpg
 
El
Wenzao Iran inakomaa na elimu na kufika mbali kwenye tafiti na kujikomboa wenyewe kwa upande wa viongozi wa Saudia tofauti.

Wao kama mabwenyenye! Kila kitu wanataka wafanyiwe!

Nchi ilindwe kijeshi na USA, familia yao ilimdwe kijeshi na USA. Wanataka watengenezewe silaha za nuclear na USA. Kisha wapatiwe silaha za nuclear na USA.

Viongozi wa Saudia wana akili za mzaha sana!
Elimu ya madrasaa Hiyo
 

In 1979 this guy (Juhayman) led a group of men and occupied the grand mosque in Mecca. It took two weeks of fighting and hundreds of causalities on both sides​

View attachment 3143296
Juhayman kama kuna "Dua" mbona Allah asizuie uvamizi huo wa mwaka 1979. Na Damu nyingi kumwagika?!

Uongo wenu unaenda kufika mwisho.
View attachment 3143307
👆Msikiti wa Makka ukifuka moshi wa Silaha mbalimbali baina ya Wafuasi wa Juhayman na Vyombo vya Usalama.
View attachment 3143308
Juhayman Al Otaybi baada ya kushikwa.

View attachment 3143319
View attachment 3143321
Wanajeshi wa Juhayman 👆wengi wao wamefia hapo Makka Msikitini.
😁😁😁😁 Msikiti mtakatifu wa Mungu umekombolewa na wanajeshi wa ufaransa ambao ni makafiri kwanini Mungu asiukomboe yeye mwenyewe wonders shall never ends, tukiwaambia dini ni utapeli hamtaki
 
Mecca panalindwa na mungu! Usinichekeshe😅😅 Kaaba yenyew hailindwi na mungu, ile eneo la kaaba kila mara inapatwa na heavy storm and Insect invasion(mende), huyo mungu yuko wapi?

In 1941 Ka'aba was disrupted for many days because of floods.
View attachment 3143355

In 1958 a huge fire engulfed ka'aba and pilgrimage was suspended.

In 1979 Kaaba was taken over by terrorists and French troops liberated it eventually.

Due to heavy winds in Makkah, the Kiswa of the Ka’bah was been blown out of its place, uncovering the mediocre brickwork.
View attachment 3143356

Kaaba, supposedly eneo takatifu linalolindwa na mungu likipigwa na heavy storm 👇👇👇

View attachment 3143366


Adiosamigo don't make me laugh
Hii nimecheka Sana 😁😁😁😁

Kumbe ni matofali Tu ya kuchoma ambayo yanaweza kujengwa hata na fundi John 😁😁😁😁🙌🙌

Kuna watu wamejazwa Imani kuwa Hilo li alkaaba limetoka mbinguni 😁🙌
 
Back
Top Bottom