Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hamnaga movie iliyotulia kama ileKwanini mkuu😅😅
Unajua kama D.B.Weiss na David Benioff ni Jews...Sijui kuna siri gani hasa kwa watu wengi waliogundua vitu vingi asili yao ni Jews.Mkuu hamnaga movie iliyotulia kama ile
Daaah kumbe kwel hawa Jews ni more intelligenceUnajua kama D.B.Weiss na David Benioff ni Jews...Sijui kuna siri gani hasa kwa watu wengi waliogundua vitu vingi asili yao ni Jews.
Kiukweli walijitahidi sana kutengeneza matukio na Dialogues
stone man sijui ulikuwa ndio ugonjwa gani aisee
Photo: HBO![]()
Viserys Targaryen: Does loyalty mean nothing to you?
Jorah Mormont: It means everything to me.
Viserys Targaryen: And yet here you stand.
Jorah Mormont: And yet here I standNo One
Photo: HBO![]()
Jorah Mormont: No one can survive in this world without help. No one.
Never Abandon You
Photo: HBO![]()
Jorah Mormont: You know I love you and I would die for you. I will never abandon you. I'm sworn to love you, to serve you.![]()
Bila shaka hicho ni kifo cha Ramsey na Jofrey lazima ushangilie tu😅Bonge la Tv show. Kuna wakati unaangalia unakasirika unauzika unatamani jambo flani litokee, linakuja kutokea baadae kwa kishindo full mafuraha na shangwe. Unaishia kusema Yes Yes
The screamersDOTHRAK hawa jamaa nilikuwa napenda makelele yao wakiwa wanaenda kupigana
Nikama the hound mwanzo unamchukia ila badae utampenda baada ya kukutana na brotherhood and bannersBila shaka hicho ni kifo cha Ramsey na Jofrey lazima ushangilie tu😅
Ila Jaime aliniuzi nilikua natamani sana afe..ila hafi mwisho nikampenda
Mkuu usiwe mjinga kama Robb stark, nikikua naangalia tena episode ya Rain of Castamere, ni moka ya episode yenye kuhuzunisha sana kwenye GOT ila ukiangalia Robb alikua mjinga sana hauweza kuunganisha watu wake vyema. Kweli penzi kitovu cha uzembe😅Nikama the hound mwanzo unamchukia ila badae utampenda baada ya kukutana na brotherhood and banners
hata yule Red woman kule mbele nmemwonea sana huruma, mwishon akarud kwenye umbo lake halisi la uzeeNikama the hound mwanzo unamchukia ila badae utampenda baada ya kukutana na brotherhood and banners
Wanaitwa brotherhood without banner/bendera. Wakimaanisha kwamba wao wanapokea watu wote ambao wanatafuta sehemu ya kukimbilia na kutenda mambo mema.
Kuna yule jamaa mpiga mishale ni nouma sana...
Mkuu usiwe mjinga kama Robb stark, nikikua naangalia tena episode ya Rain of Castamere, ni moka ya episode yenye kuhuzunisha sana kwenye GOT ila ukiangalia Robb alikua mjinga sana hauweza kuunganisha watu wake vyema. Kweli penzi kitovu cha uzembe[emoji28]
Kosa kubwa ni kumuua Rickard Karstark baada ya kuua wale watoto wa Lannisters, ilikua haki yake Lord Karstark kuua wale watoto maana Jaime alimuua Mtoto wake Tohrren Karstark...Watu wa Karhold wakaondoka na jeshi lao maana mfalme kashamuua kiongozi wao
Kosa lingine ni kumuoa Talisa wakati ashakula kiapo kumuoa mtoto wa Lord Frey na ni dhambi kwenda kinyume na kiapo Chako/ahadi. Roose Bolton hadi naye kumsaliti Robb alikua ashaona hawawezi kushinda vita. Maana Robb alikua succumbed na kisasi