mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,152
- 3,473
Kuna kitu kidogo labda nielezee kuhusu tabia za king robert alikua ana tabia moja. Yeye anajijua kwamba sio mzuri kwenye uongozi. Kwa hiyo alikua anachagua hand of the king mwenye uwezo wa kuongoza, ndiyo maana mwanzo alikuwepo jon aryn, na alipokufa akaona kwenye seven kingdome yote mtu pekee mwenye uwezo wa kuongoza ni lord eddard stark na kweli lord eddard stark ni honnorable man, fikiria siku zote anamlea jon snow na anaonekana kua mzinifu lakini sio kweli na siri amebakia nayo hata mkewe hajamwambia kua huyu sio mwanangu. Alikua tayari kubeba lawama zote.Mkuu Da’Vinci.
Kwa nyumba ya Stark honour ndio kila kitu.
Hivyo aliyoyafanya Robb na hatimaye kumletea anguko haukuwa ujinga bali ni ‘ dictates of honour’.
Kama tunavyoona hata Lord Eddard Stark aliponzwa na honour kwanza kukubali kwenda King’s Landing kuwa waziri mkuu(Hand of the King) wa Robert Baratheon, kupeleleza siri ya watoto wa Robert na mwishowe kujaribu kumsimika Stan Baratheon kwenye The Iron Throne kinyume na utashi wa Malkia Cersi.
Hili ndio gemu la mataji(Game of Thrones).
Unashinda au unakufa.
Kilichomuua eddard ni usaliti, alisalitiwa na lord baelish, kumbuka kwamba lord baelish ndiyo aliyesema kua hiki kisu ni cha tyrion. Kwa hiyo alimsaliti sana eddard stark.
Kilichomuua rob stafk ni kutokua na maamuzi ya busara baada ya baba yao kufa