My review of a song of Ice and Fire: Game of Thrones series

My review of a song of Ice and Fire: Game of Thrones series

Bila shaka hiyo series ni Westworld, sijaitazama bado.
D&D walitukosea sana hasa s7na S8, mimi season bora kwangu ni S6,S4 na S5
House of the dragons inakuja,ngoja tuone kama itakuwa moto zaidi...D&D Wameshindwa kuendeleza story baada ya kufika mwisho wa vitabu,ngoja tuone kitabu cha mwisho kitakuwa vipi.
 
Binafsi naona huyu ndio strongest woman kwenye series nzima. Dogo alikua anampa maswali jon snow hadi akaishiwa pozi.
View attachment 1836868
Huyo dogo alikuwa anajiamini sana walipo mname jon snow kwamba king of the north , kuna kipind jon aliondoka akaenda kuongea na Mother of dragon aise alipo rudi north dogo alikuwa anamwambia mfalme wa north anatakiwa akae north na sio kuondoka ondoka tu.
 
We named you a king in the north, The king in the north must stay in the north.
Napenda sana haka katoto miaka kumi tu ila kana ujasiri kama mtu wa miaka 40 kenyewe ndio kalifanya Jon aitwe King in the north.
GOT hakuna mfano wake...

Wote waliochangia kwenye uzi huu naona wewe ndio tunaweza kushindana kwa kua mfuatiliaji bora wa hii series😆
 
We named you a king in the north, The king in the north must stay in the north.
Napenda sana haka katoto miaka kumi tu ila kana ujasiri kama mtu wa miaka 40 kenyewe ndio kalifanya Jon aitwe King in the north.
GOT hakuna mfano wake...

Wote waliochangia kwenye uzi huu naona wewe ndio tunaweza kushindana kwa kua mfuatiliaji bora wa hii series[emoji38]
Mkuu nazidi kuwa bora kila kukicha maana kila wiki lazima nirudie episode hata mbili .

Ratiba zinanibana tu ila ninampango nitafute series Yakuangalia kuanzia August.
Ila issue ni kwamba ntaifeel kama GOT
 
Nishairudia san kwakweli hata sijui mata ngapi. Muvi n series ndio kilevi namba moja kwangu.

Wengi walioipenda GOT nimeona wanakumbwa natatizo hili. Mimi mwenyewe pia series zingine naona uchafu tu kigezo hua naangalia kama itaweza kufika level ya GOT hafu nakta haipo hivo Viking,last kingdom zimenishinda kutazama. Naona uandishi,mavazi hata uigizaji haujafika got so nakua bored
FB_IMG_16251632050484871.jpg
 
Nishairudia san kwakweli hata sijui mata ngapi. Muvi n series ndio kilevi namba moja kwangu.

Wengi walioipenda GOT nimeona wanakumbwa natatizo hili. Mimi mwenyewe pia series zingine naona uchafu tu kigezo hua naangalia kama itaweza kufika level ya GOT hafu nakta haipo hivo Viking,last kingdom zimenishinda kutazama. Naona uandishi,mavazi hata uigizaji haujafika got so nakua boredView attachment 1838052
lipo moja hiv linavuruga dark.ni kama mamb ya time travel
.mikel wa 1928 ndio huyo huyo mwkaa 2018 yan vagalant
 
lipo moja hiv linavuruga dark.ni kama mamb ya time travel
.mikel wa 1928 ndio huyo huyo mwkaa 2018 yan vagalant
Nilishawahi kuizungumzia hapa.. still bado haifikii hata robo GOT
 
Nilishawahi kuizungumzia hapa.. still bado haifikii hata robo GOT
Mkuuu hyo GOT inaandikwa hivyo hivyo GOT AU NI GOTHAM? NAOMBA KUJUZWA
 
Sansa stark: could have made you happy for a little while

Sendor clagein: there's only one thing that make me happy.

Sansa stark: and what is that??

Sendor clagen: my fu** buseness
 
Sansa stark: could have made you happy for a little while

Sendor clagein: there's only one thing that make me happy.

Sansa stark: and what is that??

Sendor clagen: my fu** buseness
Edmure: The laws of gods and men are very clear. No man compel another man to Marry.
Black Fish: The laws of my fist are about to compel your teeth😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom