House of the dragons inakuja,ngoja tuone kama itakuwa moto zaidi...D&D Wameshindwa kuendeleza story baada ya kufika mwisho wa vitabu,ngoja tuone kitabu cha mwisho kitakuwa vipi.Bila shaka hiyo series ni Westworld, sijaitazama bado.
D&D walitukosea sana hasa s7na S8, mimi season bora kwangu ni S6,S4 na S5
bravos.a girl has no name.arya katoka huko kaiva na faces sikujua je aliweza kui master facetrickeValar morghulis
Aliweza aise.bravos.a girl has no name.arya katoka huko kaiva na faces sikujua je aliweza kui master facetricke
kitu kimoja sijakielewa.white walkers wana ishu ganiAliweza aise.
Akaenda kuteketeza "house of frey"
Jeshi la wafu lile yaani wana king wao huyo Night king mpaka yeye anataka ku conquer dunia.kitu kimoja sijakielewa.white walkers wana ishu gani
?
A girl is Arya stark of winterfell and i am going home.The girl have a name and she's going back to winterfell..[emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
One of my favourite actress...one day i will name one of my daughter.A girl is Arya stark of winterfell and i am going home.
Huyo dogo alikuwa anajiamini sana walipo mname jon snow kwamba king of the north , kuna kipind jon aliondoka akaenda kuongea na Mother of dragon aise alipo rudi north dogo alikuwa anamwambia mfalme wa north anatakiwa akae north na sio kuondoka ondoka tu.Binafsi naona huyu ndio strongest woman kwenye series nzima. Dogo alikua anampa maswali jon snow hadi akaishiwa pozi.
View attachment 1836868
We named you a king in the north, The king in the north must stay in the north.Huyo dogo alikuwa anajiamini sana walipo mname jon snow kwamba king of the north , kuna kipind jon aliondoka akaenda kuongea na Mother of dragon aise alipo rudi north dogo alikuwa anamwambia mfalme wa north anatakiwa akae north na sio kuondoka ondoka tu.
Mkuu nazidi kuwa bora kila kukicha maana kila wiki lazima nirudie episode hata mbili .We named you a king in the north, The king in the north must stay in the north.
Napenda sana haka katoto miaka kumi tu ila kana ujasiri kama mtu wa miaka 40 kenyewe ndio kalifanya Jon aitwe King in the north.
GOT hakuna mfano wake...
Wote waliochangia kwenye uzi huu naona wewe ndio tunaweza kushindana kwa kua mfuatiliaji bora wa hii series[emoji38]
Nishairudia san kwakweli hata sijui mata ngapi. Muvi n series ndio kilevi namba moja kwangu.Mkuu nazidi kuwa bora kila kukicha maana kila wiki lazima nirudie episode hata mbili .
Ratiba zinanibana tu ila ninampango nitafute series Yakuangalia kuanzia August.
Ila issue ni kwamba ntaifeel kama GOT
lipo moja hiv linavuruga dark.ni kama mamb ya time travelNishairudia san kwakweli hata sijui mata ngapi. Muvi n series ndio kilevi namba moja kwangu.
Wengi walioipenda GOT nimeona wanakumbwa natatizo hili. Mimi mwenyewe pia series zingine naona uchafu tu kigezo hua naangalia kama itaweza kufika level ya GOT hafu nakta haipo hivo Viking,last kingdom zimenishinda kutazama. Naona uandishi,mavazi hata uigizaji haujafika got so nakua boredView attachment 1838052
Nilishawahi kuizungumzia hapa.. still bado haifikii hata robo GOTlipo moja hiv linavuruga dark.ni kama mamb ya time travel
.mikel wa 1928 ndio huyo huyo mwkaa 2018 yan vagalant
Mkuuu hyo GOT inaandikwa hivyo hivyo GOT AU NI GOTHAM? NAOMBA KUJUZWANilishawahi kuizungumzia hapa.. still bado haifikii hata robo GOT
Most confusing and plot twisting series ever
Hello there....👋👋 Hua napenda nikikutana na series au muvi nzuri nishee nanyi “wakulungwa” wapenda motion pictures maana sharing is caring, I scare because I care. Hua napenda series na muvi ambazo ukitazama unakua unakuna kichwa kuielewa, muvi zenye plot twisting na brain storming. Baadhi ya...www.jamiiforums.com
Edmure: The laws of gods and men are very clear. No man compel another man to Marry.Sansa stark: could have made you happy for a little while
Sendor clagein: there's only one thing that make me happy.
Sansa stark: and what is that??
Sendor clagen: my fu** buseness