Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
- #21
Roho ya selfishness kabisa.
Wanamanipulate watoto wa watu na kuwaingiza matatizoni
Askari walikuwa na hasira na waliokuwa ndani kuliko nje.
Roho ya selfishness kabisa.
Wanamanipulate watoto wa watu na kuwaingiza matatizoni
Mbona unaniagiza kama vile umeniajiri? Au ndio uhuru wa maoni?
Nakushauri tu. ICC watahitaji evidence kama hizo ......!!
Hakukuwa maandamano bali kulikuwa na magenge ya wezi na waharibifu wa mali. Walichokipata kutoka kwenye nguvu ya dola wanastahili.Umerudi tena na makala yako ndefu baada ya maandamano makubwa kuwahi kutokea nchini kufanikiwa!?,si uliandika makala ndefu kama hii ukielezea kwanini hakuwezi kuwa na maandamano Tanzania!?.., hii makala inafuta Ile ya tarehe 28!?,umeomba samahani kwa makala ya uongo ya wiki iliyopita!?,wakati mwingine mnajipaga umuhimu msiokuwa nao. Kukaa kimya nayo ni busara tosha.
Ndefu kichizi
Mpaka leo unaamini mambo ya ICC?
Viongozi wangapi wametakiwa kukamatwa na ICC na wanadunda uraiani?
Hawa WAHUNI WA DULLAH ndio unaita "nguvu ya dola"?Walichokipata kutoka kwenye nguvu ya dola wanastahili.
I don't know about that. Nilichosikia ni kuwa ICC wanaanza preliminary investigation kwa kilichotokea Tanzania. Sasa kama inawahusu viongozi I have no idea.... Tutaona huko mbeleni.
Waafrika wana upumbavu wa milele.
Zamani wakati ndio new member Jf nilikua namchukua mchizi ana madini kinyama yani kichwani ila now daah😂😂🙌sifa mlizokua mnampa zimeenda na akili zake zote kabaki mweupeee
d) Askari kanzu, makachero, na majasusi ambao kazi yao ilikuwa wanajifanya waandamanaji lakini walikuwa wakitoa ripoti kwa njia ya mawasiliano ya siri kwenda kwa Askari kwamba waandamanaji wapo njia fulani, wako wengi kiasi fulani, wamebeba silaha au wana means kadhaa. Hawa nao walikuwepo.
Sasa kama hawalingani, watakuwaje sawa?Mtazamo wako unakasoro kubwa
Watu wote ni sawa isipokuwa hawalingani
Sasa kama hawalingani, watakuwaje sawa?
Kama hakuna ulinganifu, hakuna usawa.
We Jinga nyamaza, ulikuwa unasema watu hawataandamana lakini wamekushangaza.Ulitaka sisi watunzi, na waandishi tufanye kitu gani?
Mimi nilikuwepo eneo la tukio. Wewe haukuwepo.
Tena nakuambia ninyo keyboard warriors mnaosema huku mitandaoni alafu field hampo ndio kiini cha matatizo yote.
Nina kuhakikishia watu wangekuwa wengi mara nne ya waliotoka na wasifanye uhalifu wakawa na jambo moja madhara yasingetokea na jeshi lingekuwa upande wa wananchi.
We Jinga nyamaza, ulikuwa unasema watu hawataandamana lakini wamekushangaza.
Kujitia akili nyingi kumbe guluguja, unakuja na viuchambuzi vyako vya ujasusi uchwara lakini mambo kwa ground ni tofauti sana.
Umeaibika sana BLAZA, huna ujasusi wowote wewe.
Huna uchambuzi wowote, hujui lolote, huna akili, huna ujuzi.
Mjinga tu wa mtandaoni, mfuata upepo, zumbukuku, mwandishi uchwara.
Hukwenda maandamano wewe, ulijificha. Pumbavu. Ungetoka nje ubamizwe bichwa hilo.