GE2025 My side: Hali jinsi ilivyokuwa tarehe 29. Maandamano, usaliti, uhalifu na mauaji

GE2025 My side: Hali jinsi ilivyokuwa tarehe 29. Maandamano, usaliti, uhalifu na mauaji

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
kitendo cha kuanza kuchoma moto mali za watu na kuiba waliharibu sana, nakosa nguvu za kuwasapoti
 
Hili lilikuwa sehemu ya makosa ya kimkakati.
Hasira na mihemko iliyopitiliza iliyokosa udhibiti ilisababisha hatari

kuna jirani yangu amelazwa Hospitali leo ni ya tatu, pressure yako imeapnda sana, hali sio nzuri. Wamevunja duka lake wameiba simu na laptops zote. kwa mujibu ya maelezo ya mkewe mzigo karibu ya 30 milioni ulikuwa ni wa mkopo.
ana ndugu yake ni katika hawa vijana wa vyuo Genz wafuasi wa mange, hivi sasa yupo anamuuguza brother anaemlisha, kijana amekuwa mnyonge sana.
 
Wakati wenzake wanatekwa na kupoteza ndugu zao yeye alikuwa anauza hizo simu na laptop.
Sasa kavunjiwa kalazwa. Wenzake wamepoteza roho za wapendwa zao.

Hiyo milioni thelathini watu wanaweza kuchangia. Vipi roho za watu?
 
Hata wa kwenye maandamano hawa kustahili kupigwa risasi.

Hao vijana wakipigwa bomu la machozi au wakisikia fataki walikuwa wanakimbia na kupotea kabisa. Hapakuwa na sababu ya kutumia nguvu kubwa
Nimemuuliza maana ni kama ana justify Vifo sababu ya kuchoma mali za umma so nimempa benefit of doubt. Ndio sasa namuuliza vipi waliouwawa sebuleni mwao?
 
Hilo halihalalishi wizi na uharibifu wa mali za watu
Mkuu hujajibu swali langu.
Nimeuliza specifically mfano kuna maeneo hakukuwa na maandamano lakini risasi zilipigwa na watu kufariki mfano Buza kwa yule presenter wa clouds!! Tena mtu akiwa kwake kabisa, Je una maoni gani juu ya hilo?
 
Umechochea maandamano yaliyojaa uhalifu mwisho watu wasio na hatia wameuwawa huku wewe ukiwa umejificha uvunguni siku 3 sahivi ndo umejitokeza kujaza comments jf.

Nyumbu wewe
Yaani hawa wapuuzi wakujiita waandamanaji walichonifanyia kuchukua simu 180 samsung wamenirudisha kilingeni yaani wakiandamana tena polisi wanipe bomu sibakishi hata mmoja wapuuzi hawa..
 
Yaani hawa wapuuzi wakujiita waandamanaji walichonifanyia kuchukua simu 180 samsung wamenirudisha kilingeni yaani wakiandamana tena polisi wanipe bomu sibakishi hata mmoja wapuuzi hawa..
Pole sana mkuu hawa wahalifu walistahili kifo , ila kinachonisikitisha tu ni kuwa uhalifu wao umepelekea hadii wasio na hatia wauwawe, ila kwa wao wazee wa kuiba na kuharibu mali kifo ndo kitu pekee kiliwafaa.
 
Simplicity is genius
Turns out ulisoma zaman sana
 
Back
Top Bottom