Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
-
- #101
Basi wewe ni mjinga kabisa. Huo uharo wote ulioandika umemwandika nani? Maandishi yoyote yanalengwa kwa wasomaji. Wewe ni Yeriko ni akili kisoda tu.
kitendo cha kuanza kuchoma moto mali za watu na kuiba waliharibu sana, nakosa nguvu za kuwasapoti
Lazima inisumbue kwa sababu wewe ni binadamu unayetakiwa kuwa na akili za kibinadamu na shule ziko kwa ajili hiyo. Hata kama hujaenda shule bado kuna informal school.Sasa mtu mwingine kuwa na akili kisoda inakusumbua?
Hili lilikuwa sehemu ya makosa ya kimkakati.
Hasira na mihemko iliyopitiliza iliyokosa udhibiti ilisababisha hatari
kuna jirani yangu amelazwa Hospitali leo ni ya tatu, pressure yako imeapnda sana, hali sio nzuri. Wamevunja duka lake wameiba simu na laptops zote. kwa mujibu ya maelezo ya mkewe mzigo karibu ya 30 milioni ulikuwa ni wa mkopo.
ana ndugu yake ni katika hawa vijana wa vyuo Genz wafuasi wa mange, hivi sasa yupo anamuuguza brother anaemlisha, kijana amekuwa mnyonge sana.
Vipi waliopigwa risasi nyumbani mkuu una maoni gani?kitendo cha kuanza kuchoma moto mali za watu na kuiba waliharibu sana, nakosa nguvu za kuwasapoti
Vipi waliopigwa risasi nyumbani mkuu una maoni gani?
Nimemuuliza maana ni kama ana justify Vifo sababu ya kuchoma mali za umma so nimempa benefit of doubt. Ndio sasa namuuliza vipi waliouwawa sebuleni mwao?Hata wa kwenye maandamano hawa kustahili kupigwa risasi.
Hao vijana wakipigwa bomu la machozi au wakisikia fataki walikuwa wanakimbia na kupotea kabisa. Hapakuwa na sababu ya kutumia nguvu kubwa
Vipi waliopigwa risasi nyumbani mkuu una maoni gani?
Mkuu hujajibu swali langu.Hilo halihalalishi wizi na uharibifu wa mali za watu
Vipi waliopigwa risasi nyumbani mkuu una maoni gani?
Yaani hawa wapuuzi wakujiita waandamanaji walichonifanyia kuchukua simu 180 samsung wamenirudisha kilingeni yaani wakiandamana tena polisi wanipe bomu sibakishi hata mmoja wapuuzi hawa..Umechochea maandamano yaliyojaa uhalifu mwisho watu wasio na hatia wameuwawa huku wewe ukiwa umejificha uvunguni siku 3 sahivi ndo umejitokeza kujaza comments jf.
Nyumbu wewe
Mbona hujibu swali mkuu.hilo halihalalaishi wizi na uharibu wa mali za watu
Pole sana mkuu hawa wahalifu walistahili kifo , ila kinachonisikitisha tu ni kuwa uhalifu wao umepelekea hadii wasio na hatia wauwawe, ila kwa wao wazee wa kuiba na kuharibu mali kifo ndo kitu pekee kiliwafaa.Yaani hawa wapuuzi wakujiita waandamanaji walichonifanyia kuchukua simu 180 samsung wamenirudisha kilingeni yaani wakiandamana tena polisi wanipe bomu sibakishi hata mmoja wapuuzi hawa..
Hata wewe ni mgonjwa maana umebakiWamekufa wenye akili wamebaki wagonjwa wengi wa akili..wew sio mzima
Wapi nimesema Mimi ni mzima?Hat
Hata wewe ni mgonjwa maana umebaki
TakatakaWapi nimesema Mimi ni mzima?
Mimi sio tu takataka, ni taka muozo😎Takataka