GE2025 My side: Hali jinsi ilivyokuwa tarehe 29. Maandamano, usaliti, uhalifu na mauaji

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Keyboard worrior...unachochea maandamano halafu hautoki hiyo ni tabia ya kinafiki.
Mnawadanganya watoto wa watu wamepata majanga halafu nyie mnabaki kusambaza picha.
Anza kujilaumu na utekaji mauaji yenu kuwabambikia chadema kesi za uongo kwanza
 
Kibaya kuliko vyote ni hii Tabia ya kuiba kura uchaguzi wa maigizo, kuteka kuwaua wakosoaji na kuwabambikia kesi za uongo
 
kitendo cha kuanza kuchoma moto mali za watu na kuiba waliharibu sana, nakosa nguvu za kuwasapoti
Nguvu za kusapoti utekaji mauaji na kuwabambikia kesi za uongo viongozi wa chadema unayo?
 
Uonevu mwingi, wizi wa kura ufisadi vyote ndiyo sababu inawafanya ccm kukosa uhalali wa kuwepo madarakani sasa
 
Wanapaswa kukaa watafakari wafanye maridhiano na walioathirika wawaombe msamaha ikibidi kuwalipa fidia waliopata hasara kwenye uhalibifu wa mali, na waache tabia za utekaji kuwaua wakosoaji na kuwabambikia kesi za uongo kama wanavyofanya kwa heche sasa, hilo ndilo suluhisho la awali ktk kuleta utengamano Nchini Tanzania
 
Chai
 
Watu kama ninyi ndiyo mnaoliletea taifa matatizo. Mnaongea mno kujifanya mnajua. Muuaji ni Samia na Abdul mwanawe, wametuletea wavuta bangi kutoka ZNZ kuja kutuua. Tutalipiza na itakuwa mbaya sana.
 
Watu kama ninyi ndiyo mnaoliletea taifa matatizo. Mnaongea mno kujifanya mnajua. Muuaji ni Samia na Abdul mwanawe, wametuletea wavuta bangi kutoka ZNZ kuja kutuua. Tutalipiza na itakuwa mbaya sana.

Punguza hasira ndipo ueleza hoja zako mkuu.
Utachukia mpaka wasiohusika jambo ambalo hata ukisema ulipe kisasi kama. Usemavyo utajikuta ukishindwa.
 
Punguza hasira ndipo ueleza hoja zako mkuu.
Utachukia mpaka wasiohusika jambo ambalo hata ukisema ulipe kisasi kama. Usemavyo utajikuta ukishindwa.
Wewe ni mshenzi unayemtetea hilo limama lenye kitambi kama panzi, halijui hata kuangalia afya yake, limejaa hasira kama mkizi. Leo linatuletea litoto lake ABDUL asiye na akili hata moja, kinara wa utekaji, huyu kijana ni mshenzi, Hatuwezi kushindwa, atahukumiwa maisha in absentee, hapo atakimbia kimbia kujificha kama kuku. Wewe tetea mauaji na utekaji kuna siku utalia hadi uishiwe machozi.
 

Kwamba leo nimekua mtetea wauaji sio?
Kwamba nikikukosoa wewe nageuka muuaji sio?

Unajua tofauti yako na hao unaowasema ni ndogo sana? Nayo ni utawala.
 
Yaani kwa namna ulivyosimulia, ni kama movie flani hivi. Pole kwa walio fiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…