NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
Sasa wanaweka picha za majuu wakilinganisha na mradi wetu ndio uonekane mbovu yet hakuna Mkenya aliyesema mradi wetu ni bora kushinda miradi ya Europe na Asia. Mbona wasiweke picha za kwao?Huu mradi umewakata maini Watanzania. Poleni sana ndugu zetu.
Most of the Videos are made by Kenyans, Tanzanians dont have such time, comparing themselves with the poorer.Of late, Tanzanians are making too many videos on YouTube comparing Tanzania to Kenya. I like the way Kenyans respond though, without any bitterness or need to compare. [emoji1787] [emoji1787]
Hizi ngojera sasaDah! Halafu kuna kifaa kingine kitakatiza kwa kupaa kutokea Upper Hill na kutua mjini ndani, hiki kitawacharanga matumbo....
Jana nimekua mjini baada ya muda mrefu (maana kazi zangu huwa ndani muda mwingi), yaani nilijikuta nashangaa shangaa kama mshamba, mji ambao nilikua nimezoea kupiga mishe za kuingia jengo moja baada ya jingine leo hii unasababisha nadata na kukenua meno.
Nilijikuta natamani kurudi nyumbani maana mji ulikua unanitia kisunzi, miundo mbinu ambayo sikuiacha ilikua...hadi raha bana....tutawapokeza watoto wetu nchi ikiwa tamu sana.
Lol, are you being deliberately daft or you just trolling? The very video I just quoted is by a Tanzanian. 🤣 🤣 🤣 Non is actually by a Kenya. Post one by a Kenyan and I'll post 10 by Tanzanians. You just proved you are poor.Most of the Videos are made by Kenyans, Tanzanians dont have such time, comparing themselves with the poorer.
Wewe hakuna kitu unasema hapa. Eti this road will not reduce traffic. Una kichaa wewe. Wacha imalizike tuone who was right. Traffic lazima itapungua in the first few years kabla Wakenya wanunue magari zaidiYou are right, This road does not decongest nairobi, the aim of serious city planners is to reduce the number of personal cars/low pax commuter vans on the road..To make matters worse its an expressway..you cannot alight at the common areas such as the highly populated Bellevue stage.. Absolutely no need for expressway when southern and eastern bypass do the job perfectly.. BRT should solve this
Hizi ngojera sasa
Wewe Ni mzee kumbe okey ni Sawa piaHehehehe Huu mji huu, hapana tabidi niukimbie na kwenda kwa kamji kadogo kwingine, haya mavitu nawaachia vijana wageuze geuze magari na kujimwaya mwaya, kwanza mimi mwoga wa kuendesha gari kwa mwendo wa kasi, barabara ya Thika superhighway yenyewe husababisha niingiwe kiwewe ikitokea nimejikuta katikati magari mengi na sote tunakwenda kwa kasi.
Enzi nikiwa kijana tena hustler ilikua nafuu, nilikua siogopi chochote, ila kwa sasa bora niwaachie tu, niwe nayaona kwenye TV, haswa barabara zinazopitia juu kwa juu.
Sijui mbona hamuelewi. The expressway will have BRT, space between the pillars will be BRT stations. Also not the whole stretch has space in the median to fit 2 lanes that is why we have an elevated viaduct. No space from Nyayo to James gichuru. BRT is more cost effective than Metro train too. How many KMs of Metro will DAr have if you did trains instead of BRT since metro is 10times more expensive?Kwa hapa nimeshawishika na point ya gharama but vipi Kuhusu kuacha space between the pillars kwa ajili ya matumiz mengineyo?
You think they are arguing because they want to get the point? Lol, now that you've explained to the in diagrams for the second time, ngojea uone kama watakubali. They'll either pretend not not understand and play stupid or come up with another silly argument. 🤣 🤣Sijui mbona hamuelewi. The expressway will have BRT, space between the pillars will be BRT stations. Also not the whole stretch has space in the median to fit 2 lanes that is why we have an elevated viaduct. No space from Nyayo to James gichuru. BRT is more cost effective than Metro train too. How many KMs of Metro will DAr have if you did trains instead of BRT since metro is 10times more expensive?
View attachment 1696773
don't u see that space btn the pillars cold be made at least 7 m wide and allow the buses to pass or say the top was a metrotrain then a pedestrian bridge could have been connected to the metro line on top and avoid interference with the general traffic in the picture? I call this design is a poorly done! that $600 mln can give a metro line if the tender was floated for everyone to vie for!Sijui mbona hamuelewi. The expressway will have BRT, space between the pillars will be BRT stations. Also not the whole stretch has space in the median to fit 2 lanes that is why we have an elevated viaduct. No space from Nyayo to James gichuru. BRT is more cost effective than Metro train too. How many KMs of Metro will DAr have if you did trains instead of BRT since metro is 10times more expensive?
View attachment 1696773
You know what causes Jam in Nairobi..Wewe hakuna kitu unasema hapa. Eti this road will not reduce traffic. Una kichaa wewe. Wacha imalizike tuone who was right. Traffic lazima itapungua in the first few years kabla Wakenya wanunue magari zaidi
Lol, are you being deliberately daft or you just trolling? The very video I just quoted is by a Tanzanian. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Non is actually by a Kenya. Post one by a Kenyan and I'll post 10 by Tanzanians. You just proved you are poor.
Unajichanganya mzee, Ya kwenu nyie wakenya ni ardhi na umasikini , the rest kuanzia plan, architecture, technology, funding, ownership, maintainance, running for 30 years (the time you'll most likely dead) ni 100% Mchina.sikujua watu wanaumia sana...expressway ikoseke ama ijengwe vizuri haiwahusu.hii ni ya kwetu kenya.ngojeni ya tz ikijengwa mtakua na ruhusa ya kukashfu mnavyotaka...idiots
Maumivu yakizidi, pata ushauri wa daktari.Unajichanganya mzee, Ya kwenu nyie wakenya ni ardhi na umasikini , the rest kuanzia plan, architecture, technology, funding, ownership, maintainance, running for 30 years (the time you'll most likely dead) ni 100% Mchina.
[emoji3][emoji3]mbona uumie hivyo!!! na ni barabara yenu ndio inajengwa!!!!sikujua watu wanaumia sana...expressway ikoseke ama ijengwe vizuri haiwahusu.hii ni ya kwetu kenya.ngojeni ya tz ikijengwa mtakua na ruhusa ya kukashfu mnavyotaka...idiots
kwahiyo wachina ndio wataletwa asubuhi waje watumie barabara jioni warudishwe kwao china kwa sababu wamejenga hao au wakimaliza kuijenga wataing'oa waende nayo?Unajichanganya mzee, Ya kwenu nyie wakenya ni ardhi na umasikini , the rest kuanzia plan, architecture, technology, funding, ownership, maintainance, running for 30 years (the time you'll most likely dead) ni 100% Mchina.
wenawe unabwabwaja vitu gani?[emoji3][emoji3]mbona uumie hivyo!!! na ni barabara yenu ndio inajengwa!!!!