My view on Kenya elevated express toll roads

My view on Kenya elevated express toll roads

Of late, Tanzanians are making too many videos on YouTube comparing Tanzania to Kenya. I like the way Kenyans respond though, without any bitterness or need to compare. [emoji1787] [emoji1787]
Most of the Videos are made by Kenyans, Tanzanians dont have such time, comparing themselves with the poorer.
 
Dah! Halafu kuna kifaa kingine kitakatiza kwa kupaa kutokea Upper Hill na kutua mjini ndani, hiki kitawacharanga matumbo....
Jana nimekua mjini baada ya muda mrefu (maana kazi zangu huwa ndani muda mwingi), yaani nilijikuta nashangaa shangaa kama mshamba, mji ambao nilikua nimezoea kupiga mishe za kuingia jengo moja baada ya jingine leo hii unasababisha nadata na kukenua meno.

Nilijikuta natamani kurudi nyumbani maana mji ulikua unanitia kisunzi, miundo mbinu ambayo sikuiacha ilikua...hadi raha bana....tutawapokeza watoto wetu nchi ikiwa tamu sana.
Hizi ngojera sasa
 
Most of the Videos are made by Kenyans, Tanzanians dont have such time, comparing themselves with the poorer.
Lol, are you being deliberately daft or you just trolling? The very video I just quoted is by a Tanzanian. 🤣 🤣 🤣 Non is actually by a Kenya. Post one by a Kenyan and I'll post 10 by Tanzanians. You just proved you are poor.
 
You are right, This road does not decongest nairobi, the aim of serious city planners is to reduce the number of personal cars/low pax commuter vans on the road..To make matters worse its an expressway..you cannot alight at the common areas such as the highly populated Bellevue stage.. Absolutely no need for expressway when southern and eastern bypass do the job perfectly.. BRT should solve this
Wewe hakuna kitu unasema hapa. Eti this road will not reduce traffic. Una kichaa wewe. Wacha imalizike tuone who was right. Traffic lazima itapungua in the first few years kabla Wakenya wanunue magari zaidi
 
Hizi ngojera sasa

Hehehehe Huu mji huu, hapana tabidi niukimbie na kwenda kwa kamji kadogo kwingine, haya mavitu nawaachia vijana wageuze geuze magari na kujimwaya mwaya, kwanza mimi mwoga wa kuendesha gari kwa mwendo wa kasi, barabara ya Thika superhighway yenyewe husababisha niingiwe kiwewe ikitokea nimejikuta katikati magari mengi na sote tunakwenda kwa kasi.
Enzi nikiwa kijana tena hustler ilikua nafuu, nilikua siogopi chochote, ila kwa sasa bora niwaachie tu, niwe nayaona kwenye TV, haswa barabara zinazopitia juu kwa juu.
 
Wewe Ni mzee kumbe okey ni Sawa pia
 
Kwa hapa nimeshawishika na point ya gharama but vipi Kuhusu kuacha space between the pillars kwa ajili ya matumiz mengineyo?
Sijui mbona hamuelewi. The expressway will have BRT, space between the pillars will be BRT stations. Also not the whole stretch has space in the median to fit 2 lanes that is why we have an elevated viaduct. No space from Nyayo to James gichuru. BRT is more cost effective than Metro train too. How many KMs of Metro will DAr have if you did trains instead of BRT since metro is 10times more expensive?
brt express.jpg
 
View attachment 1696773
You think they are arguing because they want to get the point? Lol, now that you've explained to the in diagrams for the second time, ngojea uone kama watakubali. They'll either pretend not not understand and play stupid or come up with another silly argument. 🤣 🤣
 
Sijui mbona hamuelewi. The expressway will have BRT, space between the pillars will be BRT stations. Also not the whole stretch has space in the median to fit 2 lanes that is why we have an elevated viaduct. No space from Nyayo to James gichuru. BRT is more cost effective than Metro train too. How many KMs of Metro will DAr have if you did trains instead of BRT since metro is 10times more expensive?
View attachment 1696773
don't u see that space btn the pillars cold be made at least 7 m wide and allow the buses to pass or say the top was a metrotrain then a pedestrian bridge could have been connected to the metro line on top and avoid interference with the general traffic in the picture? I call this design is a poorly done! that $600 mln can give a metro line if the tender was floated for everyone to vie for!

See a similar project in India is to cost around $1 bln if GoK is to factor interest rates they could have managed to build a state of the art viaduct plus locomotives on that viaduct!

2880000000 INR=39566798.51 USD
 
Wewe hakuna kitu unasema hapa. Eti this road will not reduce traffic. Una kichaa wewe. Wacha imalizike tuone who was right. Traffic lazima itapungua in the first few years kabla Wakenya wanunue magari zaidi
You know what causes Jam in Nairobi..
1) Stupid policemen at lusaka rd and uhuruHighway roundabout
2)Matatus dropping off and picking passangers anywhere
3) Fake South B/C middle class with their noisy subarus
who told the Weed smoker that traffic from mombasa rd/ Jkia ends up in westlands so that billions are spent on an expressway?
This is another sgr and will face similar problems. -Lack of Traffic to payoff the lenders
 
Lol, are you being deliberately daft or you just trolling? The very video I just quoted is by a Tanzanian. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Non is actually by a Kenya. Post one by a Kenyan and I'll post 10 by Tanzanians. You just proved you are poor.

I Can send you 30 more vidoes
 
sikujua watu wanaumia sana...expressway ikoseke ama ijengwe vizuri haiwahusu.hii ni ya kwetu kenya.ngojeni ya tz ikijengwa mtakua na ruhusa ya kukashfu mnavyotaka...idiots
Unajichanganya mzee, Ya kwenu nyie wakenya ni ardhi na umasikini , the rest kuanzia plan, architecture, technology, funding, ownership, maintainance, running for 30 years (the time you'll most likely dead) ni 100% Mchina.
 
sikujua watu wanaumia sana...expressway ikoseke ama ijengwe vizuri haiwahusu.hii ni ya kwetu kenya.ngojeni ya tz ikijengwa mtakua na ruhusa ya kukashfu mnavyotaka...idiots
[emoji3][emoji3]mbona uumie hivyo!!! na ni barabara yenu ndio inajengwa!!!!
 
Unajichanganya mzee, Ya kwenu nyie wakenya ni ardhi na umasikini , the rest kuanzia plan, architecture, technology, funding, ownership, maintainance, running for 30 years (the time you'll most likely dead) ni 100% Mchina.
kwahiyo wachina ndio wataletwa asubuhi waje watumie barabara jioni warudishwe kwao china kwa sababu wamejenga hao au wakimaliza kuijenga wataing'oa waende nayo?
 
Dah baada ya jamaa wa Wivu Choir kuumwa kweli kweli hadi kwenye firigisi, kwasababu ya hii expressway ya Nairobi, walijikakamua wakaketi kwenye kikao wakajadili watoke vipi. Waone sasa wanavoibuka na picha za nje ya bara hili wakizitumia kuponda mradi huu. Hivi wadau hamna hata kapicha kamoja tu ka mradi kama huu kule Jamhuri mpya ya Chato? [emoji57]
 
Back
Top Bottom