Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Hata ukiwa na fedha bado katika hao 10 kuna watano ama zaidi watachepuka tuWengi wanapenda kuwanao hata kumi
changamoto ni fedha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata ukiwa na fedha bado katika hao 10 kuna watano ama zaidi watachepuka tuWengi wanapenda kuwanao hata kumi
changamoto ni fedha
Hahahah asubuhi nimepata furaha sanaNilikua na rafiki yangu yuko speed sana. Nikamwambia Chief, you know you got a daughter! Anasema aaaaah man, dont bring those stories now. Namkumbusha hao watoto anaowachezea nao wana wazazi wao.
'' Don't bring those stories now '' hahahahNilikua na rafiki yangu yuko speed sana. Nikamwambia Chief, you know you got a daughter! Anasema aaaaah man, dont bring those stories now. Namkumbusha hao watoto anaowachezea nao wana wazazi wao.
'' Don't bring those stories now '' hahahah
Hela zinamdanganya aulizie yaliyomkuta Muhammad Ali aliyejiita THE GREATEST,maisha ya uasherati hayajawahi kumuacha mtu salama..Aman iwe nanyi wapendwa
Ebhana ee yule mkali kunako ulingo wa ngumi bondia maarufu anayekwenda kwa jina la my weather amedai yeye ana wasichana saba
Hayo kayaongea akiwa anahojiwa na mtandao wa dailymail. Mshikaji kadai kuwa na demu mmoja au wawili ni upuuz maana ni sawa na kuwa huna kabisa
Namunukuu. Kitendo cha mwanaume kuwa na demu mmoja au wawili ni upuuz maana ni sawa kama huna kabisa demu kwahiyo wanaume waige kwangu wawe na mademu saba au zaid ya saba
Nadhan umeelewa kamanisha nini yaan kamanisha hivi ukiwa una demu mmoja ni upuuz maana ni kama huna kabisa
LONDON BABY
Sent using Jamii Forums mobile app
Role model wenu.
Hahahaaa!Mh! Sitii neno.
Hahahaaa!
Do you have a dota? [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji12]
hahahahah aya bwana kwa hiyo moyo unamuuma???Anasema akipiga picha binti yake amekunjwa na njemba anakosa raha kabisa.
Kabisa ...sema kamanda kaamua tu kuwa wazi....ila wengine tunajifichafichaMbona hiki ni kitu cha kawaida sana hiki kwa sisi WANAUME MKUU..
Tena ndio tuko wengi ila tumekaa kimyaKabisa ...sema kamanda kaamua tu kuwa wazi....ila wengine tunajifichaficha
Tofauti sisi hatuna jeuri ya kutangaza tu ,ingekuwa tunajeuri huyo mayweather angekaa watu wana Alfabet zote kuanzia Agnes Ashura mpaka Zaina na Ziporah!Mbona hiki ni kitu cha kawaida sana hiki kwa sisi WANAUME MKUU..
Kabisa mkuu ndio hivyoTofauti sisi hatuna jeuri ya kutangaza tu ,ingekuwa tunajeuri huyo mayweather angekaa watu wana Alfabet zote kuanzia Agnes Ashura mpaka Zaina na Ziporah!