My weather kaniacha mdomo waz

My weather kaniacha mdomo waz

Nilikua na rafiki yangu yuko speed sana. Nikamwambia Chief, you know you got a daughter! Anasema aaaaah man, dont bring those stories now. Namkumbusha hao watoto anaowachezea nao wana wazazi wao.
Hahahah asubuhi nimepata furaha sana
 
Nilikua na rafiki yangu yuko speed sana. Nikamwambia Chief, you know you got a daughter! Anasema aaaaah man, dont bring those stories now. Namkumbusha hao watoto anaowachezea nao wana wazazi wao.
'' Don't bring those stories now '' hahahah
 
Aman iwe nanyi wapendwa

Ebhana ee yule mkali kunako ulingo wa ngumi bondia maarufu anayekwenda kwa jina la my weather amedai yeye ana wasichana saba

Hayo kayaongea akiwa anahojiwa na mtandao wa dailymail. Mshikaji kadai kuwa na demu mmoja au wawili ni upuuz maana ni sawa na kuwa huna kabisa

Namunukuu. Kitendo cha mwanaume kuwa na demu mmoja au wawili ni upuuz maana ni sawa kama huna kabisa demu kwahiyo wanaume waige kwangu wawe na mademu saba au zaid ya saba

Nadhan umeelewa kamanisha nini yaan kamanisha hivi ukiwa una demu mmoja ni upuuz maana ni kama huna kabisa

LONDON BABY

Sent using Jamii Forums mobile app
Hela zinamdanganya aulizie yaliyomkuta Muhammad Ali aliyejiita THE GREATEST,maisha ya uasherati hayajawahi kumuacha mtu salama..
 
Kuwa na wanawake wengi hlf unaanza kujisifia ni ujinga uliotukua ktk dunia ya leo
 
Africans are good at sex,music,love affairs and love luxury things. Huyu ni mwisrael alisema hivi ila ni ukweli.wazungu wanaume hawapo vizuri Hata kimaumbuile.inafikia sehemu wanakuita ukamridhishie mpenziwe. Kuna wazee wanakuwa wakali wakikuona unajenga maziea na binti zao mana anajua kuwa akimuonja mwafrika ndio maxima anaenda hawezi rudi kwa whites.

So Hata huyo jamaa hana nakosa badala ya kuwekeza kwa kizazi chake milele na milele investment ila yeye ni magari ya kifahari na kufanya birthday ya kufa MTU kwa kijana wake.
 
mayweather katembelea kwenye idadi yangu ile ile
 
Mbona hiki ni kitu cha kawaida sana hiki kwa sisi WANAUME MKUU..
Tofauti sisi hatuna jeuri ya kutangaza tu ,ingekuwa tunajeuri huyo mayweather angekaa watu wana Alfabet zote kuanzia Agnes Ashura mpaka Zaina na Ziporah!
 
Back
Top Bottom